Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,352
- 22,963
Wewe ni falaPolepople Apuuzwe: Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20 unauzwa
TZS 2,000/=. Tanzania unauzwa 55,000/= TZS.:
1.Cuba ni nchi ya kijamaa(socialist) hivyo serikali hutenga ruzuku kubwa kwa ajili ya manunuzi na kuendeleza miundombinu ya gasi,ila tanzania bei elekezi hutegemea zaid soko la dunia (market based),gharama za uagizaji na kodi za ndani.
2.Cuba inachukua gasi kutoka kwa mshirika wake Venezuela kwa mkataba wa muda mrefu wenye masharti naafu,ila Tanzania haina mikataba mikubwa ya kupunguza gharama za gasi kama OPEC Asia.
3.Tanzania inategemeea UMEME kama nishati dumu kuliko gasi ambayo hutumiwa sana na Cuba, hivyo huifanya iwe nauhuitaji kwa jamii ndo maana upelekea kuuzwa kwa bei ya chini ukilinganisha na nchi nyingine.
#kurayakwanzakwasamia
#haijapatakutokea
Point ya kwanza:Polepople Apuuzwe: Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20 unauzwa
TZS 2,000/=. Tanzania unauzwa 55,000/= TZS.:
1.Cuba ni nchi ya kijamaa(socialist) hivyo serikali hutenga ruzuku kubwa kwa ajili ya manunuzi na kuendeleza miundombinu ya gasi,ila tanzania bei elekezi hutegemea zaid soko la dunia (market based),gharama za uagizaji na kodi za ndani.
2.Cuba inachukua gasi kutoka kwa mshirika wake Venezuela kwa mkataba wa muda mrefu wenye masharti naafu,ila Tanzania haina mikataba mikubwa ya kupunguza gharama za gasi kama OPEC Asia.
3.Tanzania inategemeea UMEME kama nishati dumu kuliko gasi ambayo hutumiwa sana na Cuba, hivyo huifanya iwe nauhuitaji kwa jamii ndo maana upelekea kuuzwa kwa bei ya chini ukilinganisha na nchi nyingine.
#kurayakwanzakwasamia
#haijapatakutokea
Gas tunazalisha wenyewePolepople Apuuzwe: Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20 unauzwa
TZS 2,000/=. Tanzania unauzwa 55,000/= TZS.:
1.Cuba ni nchi ya kijamaa(socialist) hivyo serikali hutenga ruzuku kubwa kwa ajili ya manunuzi na kuendeleza miundombinu ya gasi,ila tanzania bei elekezi hutegemea zaid soko la dunia (market based),gharama za uagizaji na kodi za ndani.
2.Cuba inachukua gasi kutoka kwa mshirika wake Venezuela kwa mkataba wa muda mrefu wenye masharti naafu,ila Tanzania haina mikataba mikubwa ya kupunguza gharama za gasi kama OPEC Asia.
3.Tanzania inategemeea UMEME kama nishati dumu kuliko gasi ambayo hutumiwa sana na Cuba, hivyo huifanya iwe nauhuitaji kwa jamii ndo maana upelekea kuuzwa kwa bei ya chini ukilinganisha na nchi nyingine.
#kurayakwanzakwasamia
#haijapatakutokea
Eti na wewe babako anakaa mbele ya wenzake anajisifu kasomesha!Polepople Apuuzwe: Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20 unauzwa
TZS 2,000/=. Tanzania unauzwa 55,000/= TZS.:
1.Cuba ni nchi ya kijamaa(socialist) hivyo serikali hutenga ruzuku kubwa kwa ajili ya manunuzi na kuendeleza miundombinu ya gasi,ila tanzania bei elekezi hutegemea zaid soko la dunia (market based),gharama za uagizaji na kodi za ndani.
2.Cuba inachukua gasi kutoka kwa mshirika wake Venezuela kwa mkataba wa muda mrefu wenye masharti naafu,ila Tanzania haina mikataba mikubwa ya kupunguza gharama za gasi kama OPEC Asia.
3.Tanzania inategemeea UMEME kama nishati dumu kuliko gasi ambayo hutumiwa sana na Cuba, hivyo huifanya iwe nauhuitaji kwa jamii ndo maana upelekea kuuzwa kwa bei ya chini ukilinganisha na nchi nyingine.
#kurayakwanzakwasamia
#haijapatakutokea
Kuna watu mmejaza vinyesi kichwani.nyie ndo mnasababisha Africa isiendelee.Polepople Apuuzwe: Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20 unauzwa
TZS 2,000/=. Tanzania unauzwa 55,000/= TZS.:
1.Cuba ni nchi ya kijamaa(socialist) hivyo serikali hutenga ruzuku kubwa kwa ajili ya manunuzi na kuendeleza miundombinu ya gasi,ila tanzania bei elekezi hutegemea zaid soko la dunia (market based),gharama za uagizaji na kodi za ndani.
2.Cuba inachukua gasi kutoka kwa mshirika wake Venezuela kwa mkataba wa muda mrefu wenye masharti naafu,ila Tanzania haina mikataba mikubwa ya kupunguza gharama za gasi kama OPEC Asia.
3.Tanzania inategemeea UMEME kama nishati dumu kuliko gasi ambayo hutumiwa sana na Cuba, hivyo huifanya iwe nauhuitaji kwa jamii ndo maana upelekea kuuzwa kwa bei ya chini ukilinganisha na nchi nyingine.
#kurayakwanzakwasamia
#haijapatakutokea
SawaMkuu AI si inakusanya tu taarifa kutoka sehemu mbalimbali, unless sasa tupewe taarifa kutoka incredible source ya Cuba kuwa gas ni 0. something $, nmetafuta hapa kwenye uzi sijaona.
Mwambie hivi: poor neck carrying a rotten pumpkinVichwa kama chako ni moja ya mabomu yenyewe! Any way Tanzania unauzwa 67000 TSH. Hiyo 55000 ni bei ya 2019
yan yamesoma style ila hayajaelimika, i was wondering lini tumekuwa a capitalist country. Alafu hiyo sio ishue sana, ishue ni kwamba tunashindwa nini kufanya kama cuba kama tumeamua kutumia nishati masala ?....Tanzania ni socialist ideology , mpaka sahizi ulivyoandika uharo wako huo........
au twambie ni lini tumekuwa wabebari au uchumi mchanganyiko
Ficha ujinga Wako Mbele ya WATU Ndugu Punguza Uchawa Wako WewePolepople Apuuzwe: Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20 unauzwa
TZS 2,000/=. Tanzania unauzwa 55,000/= TZS.:
1.Cuba ni nchi ya kijamaa(socialist) hivyo serikali hutenga ruzuku kubwa kwa ajili ya manunuzi na kuendeleza miundombinu ya gasi,ila tanzania bei elekezi hutegemea zaid soko la dunia (market based),gharama za uagizaji na kodi za ndani.
2.Cuba inachukua gasi kutoka kwa mshirika wake Venezuela kwa mkataba wa muda mrefu wenye masharti naafu,ila Tanzania haina mikataba mikubwa ya kupunguza gharama za gasi kama OPEC Asia.
3.Tanzania inategemeea UMEME kama nishati dumu kuliko gasi ambayo hutumiwa sana na Cuba, hivyo huifanya iwe nauhuitaji kwa jamii ndo maana upelekea kuuzwa kwa bei ya chini ukilinganisha na nchi nyingine.
#kurayakwanzakwasamia
#haijapatakutokea
uko sahihi inawezekana kubeba madawa ya kulevya Toka Amerika ya kusini ,ngano Toka ulaya mashariki(Ukraine na urusi). .....lakini kukaa na Venezuela tutengeneze utaratibu mzuri kama wa Cuba inashindikanayan yamesoma style ila hayajaelimika, i was wondering lini tumekuwa a capitalist country. Alafu hiyo sio ishue sana, ishue ni kwamba tunashindwa nini kufanya kama cuba kama tumeamua kutumia nishati masala ?....
Mbona mzee unaandika uhalisho na hafu kama uelewi kwamba hapa Tanzania sisi wenyewe tunachimba gesi, Nyie ni miongini mwa mnaolipwa ela za Bure kabisa kumtetea mama, Kwa utetezi huu ningekuwa bosi wako ningekufuta kazi.
Exactly, tumeamua kutumia nishati mbadala basi lets explore the best alternative of all, unless otherwise this country is being run by goons...uko sahihi inawezekana kubeba madawa ya kulevya Toka Amerika ya kusini ,ngano Toka ulaya mashariki(Ukraine na urusi). .....lakini kukaa na Venezuela tutengeneze utaratibu mzuri kama wa Cuba inashindikana
tuseme sawa imeshindika ooowk .........mtwara Kwa dangote pale si rais mwanamtandao gase Ile aligawa Kwa dangote Bure tu
Kuna mmoja anakujaga home kwangu anataka nimrecovie account zake za kufanyia huo upuuzi.. Yan iko hivi hizi propaganda zinaanziaga kwa wakuu wa wilaya, mikoa nk, wanatuma kwenye magroup yako then vijana kazi yao ni kuzisambaza kwenye social media platforms zote then wanascreenshot alafu wanawatumia wakubwa ndio wanapata hiyo buku saba, it's very sad yan. Kuna siku jamaa kafanya kazi waziri akasahau kumtumia ujira alafu alikuwa anapanda ndege anaenda zake dubai akamwambia jamaa amkimbizie kipawa na pikipiki ili akapewe posho yeye anawahi flight sasa jamaa alikuwa desperate pikipiki imekimbia ikaenda kupata accident kabla hajafika airport na posho hakupata maana tajiri alipanda ndege na kwenda zake.Mtu anakubar alipwe 7000 ili kushiriki katika kazi za kifisadi za kueneza habar za uongo.
And most of them hawakiowi wanatumia bundle Lao binafs.