Polepole apuuzwe kuhusu gesi

Ata Cuba ujawai kufika Kazi kugugo tu sio kila habari za nchi zipo chatgpt fala ww
 
New ID
 
Basi wewe ni mjinga. Sisi tunashindwa Nini hayo? yaani amejitokeza kukwambia namna nchi za watu ziilivyofanikiwa kuleta unafuu wa maisha kwa kutumia vizuri rasilimali. Tanzania vitu vipo Juu kwasababu Kuna madalali wengi. Wewe unasema apuuzwe? Mjinga kabisa. Unapaswa tukuue wewe.
 
Nimejaribu kugoogle bei ya gesi Cuba majibu yamekuja hivi kama inavyoonekana hapa chini:-
View attachment 3458300
Mbona kwa sura hii huko Cuba gas ni ghali kuliko kwetu.
Hizo ninAI zimetengenezwa US na Ulaya na Hata ukienda Wikipedia Wana manipulate taarifa hasa za mahasimu wao. Kupata ukweli lazima uwe na source za taarifa kutoka vyanzo vingi na ulinganishe. Lakini, msema bei ya elfu mbili alikuwa huko Cuba...! Na pia Kuna watu wetu huko. Kwa nini msiwaulize hao...mpaka mtumie AI? Binafsi napenda ukweli bila kujali umesemwa na nani. Kama HP katudanganya naye kwenye hili tutamshughulikia kama wengine waongo wanavyoshughulikiwa...!
 
Unatapatapa tu
 
Umesoma uilchoandika? Cuba inaagiza Gas ila Tanzania inachimba yenyewe!
 
Kwani Tanzania kwa mujibu wa CCM ni nchi ya kijamaa na kuhusu uhusiano tunao na wajomba wa Oman, Mfalme wa Dubai na DP World na uranium kwenda Iran ilipitia Bongo toka Congo hawa si jamaa zetu na wauza gesi?
 

Umesahau kuwa Tanzania tuna gas wakati Cuba hawana gas.....!!?
 
We ndo kilaza umeharibu kabisa amekwambia unauzwa 2000 Tanzania shilling na sio hela ya quba..mataqo yako wewe na mtoa Uzi wote vilaza
Ni kweli amesema ni tshs 2000 kwa change rate hiyo ya 104 huo mtungi utakuwa cuban peso kama 19 plus hongera zao sisi bei ya nishati haikamatiki yawe mafuta uwe umeme iwe gesi ni balaa
 
Tuipuuze hoja ya Pole pole kuhusu gesi au tumpuuze Pole pole mtoa hoja?
Mbona vijana tunakuwa na hoja dhaifu sana, tatizo ni nini?...hoja hupanguliwa kwa hoja na siyo mashambulizi.

Ujenzi wetu wa hoja ni dhaifu sana tunahitaji kupigwa msasa wa critical thinking and argumentation ili tuache utoto. Hoja ya Mh. Polepole kuhusu gesi ikipingwa kwa mtindo wa kumpinga mtu ni kupoteza muda na kumpa credit bila kujali au kwa kujua.
................
 
Mkuu AI si inakusanya tu taarifa kutoka sehemu mbalimbali, unless sasa tupewe taarifa kutoka incredible source ya Cuba kuwa gas ni 0. something $, nmetafuta hapa kwenye uzi sijaona.
 
Wewe una akili za kenge maji.
 
Sababu zote 3 ulizotoa ni za kipuuzi, na zisizo na uzalendo kwa wananchi wenzako.
1. Kama Cuba imeingia ubia na Venezuela why Tanzania isiingie mkataba na nchi zingine?

Kwa nini lkn huwa mnawaona watanzania kama mbuzi hivi?
 
Ishu siyo bei ya gesi.... ishu ni kwamba Watanzania wengi wanaishi maisha duni sababu ya maslahi ya watu wachache..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…