Polepole anavuruga amani ya nchi. Anavyotaka kuzungumza kesho, anataka kusema nini?

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,729
Reaction score
5,637
Na hivi anavyosema kwamba kesho anataka kufanya Press Conference, sijui anataka kusema nini.

Huyu ni mwanasiasa with extremist views, now made worse by his stay in Cuba. Watanzania wanataka amani. CCM wamesema Samia Suluhu ndie atakuwa mgombea urais. Ni wao wenyewe CCM ndio wanaweza kumbadili. Siyo Polepole au Dr. Slaa

Soma: Humphrey Polepole: Nitazungumza na Umma 31 Julai 2025 Saa 2:00 Usiku

Tayari Polepole ameshaleta madhara sana, anavuruga amani, anataka kufafanua mambo kumbe ndio anazidi kuwavuruga watu. Bado kuna loose ends which have to be tied up. CHADEMA lazima waelewe kwamba wakipewa ruzuku siyo kwa ajili ya kutumia na watu wachache katika Chama chao.

Sasa ambapo Uteuzi umekwisha CCM, wanaweza kusikiliza manung'uniko ya CHADEMA. Halafu watu wengine wamekatwa wasigombee Ubunge kwa sababu hawakumpendeza Mwenyekiti. Kwa hiyo labda watasubiri mpaka 2030.

Polepole wants to destabilize the country. Anatumwa na Ford Foundation. Sasa, hii Ford Foundation ya siku siyo Ile ya zamani alipokuwepo Henry Ford anatengeneza gari kwa kutumia madebe na makopo.

Zamani, Henry Ford alikuwa very progressive, anauliza kwa nini tunaona upendeleo, watu wachache wanatajirika, kazi wanayoifanya hatuioni?
 
Na hivi anavyosema kwamba kesho anataka kufanya Press Conference,sijui anataka kusema nini.
Huyu ni mwanasiasa with extremist views,now made worse by his stay in Cuba.
Watanzania wanataka amani. CCM wamesema Samia Suluhu ndie atakuwa mgombea urais. Ni wao wenyewe CCM ndio wanaweza kumbadili. Siyo Polepole au Dr. Slaa .
Tayari Polepole ameshaleta madhara sana, anavuruga amani, anataka kufafanua mambo kumbe ndio anazidi kuwavuruga watu .
Bado kuna loose ends which have to be tied up.
Chadema lazima waelewe kwamba wakipewa ruzuku siyo kwa ajili ya kutumia na watu wachache katika Chama chao.
Sasa ambapo Uteuzi umekwisha CCM,wanaweza kusikiliza manung'uniko ya Chadema.
Halafu watu wengine wamekatwa wasigombee ubunge kwa sababu hawskumpendeza Mwenyekiti. Kwa hiyo labda watasubiri mpaka 2030.
Msije tu mkafunga Youtube ,mwacheni aongee kwani kuna kitu gani kibaya ambacho ni kipya amkijui? Ufisadi ,Utekaji ,Ukiukwaji wa taratibu/kanuni katika uteuzi si sisiemu wanafanya? #KATAA_WAHUNI.
 
Na hivi anavyosema kwamba kesho anataka kufanya Press Conference,sijui anataka kusema nini.
Huyu ni mwanasiasa with extremist views,now made worse by his stay in Cuba.
Watanzania wanataka amani. CCM wamesema Samia Suluhu ndie atakuwa mgombea urais. Ni wao wenyewe CCM ndio wanaweza kumbadili. Siyo Polepole au Dr. Slaa .
Tayari Polepole ameshaleta madhara sana, anavuruga amani, anataka kufafanua mambo kumbe ndio anazidi kuwavuruga watu .
Bado kuna loose ends which have to be tied up.
Chadema lazima waelewe kwamba wakipewa ruzuku siyo kwa ajili ya kutumia na watu wachache katika Chama chao.
Sasa ambapo Uteuzi umekwisha CCM,wanaweza kusikiliza manung'uniko ya Chadema.
Halafu watu wengine wamekatwa wasigombee ubunge kwa sababu hawskumpendeza Mwenyekiti. Kwa hiyo labda watasubiri mpaka 2030.
Wacha kuwabana watu kutumia haki yao ya kikatiba kusema.

Kama Polepole ni mwanasiasa mwenye extremists views, muachie aseme tutazijua vizuri. Akikaa kimya ndiyo vibaya maana anaweza kupanga mambo extreme bila kujulikana.

Tanzania hakuna amani kama unavyosema watu wanatekwa na kupotezwa kila mara.
 
Na hivi anavyosema kwamba kesho anataka kufanya Press Conference,sijui anataka kusema nini.
Huyu ni mwanasiasa with extremist views,now made worse by his stay in Cuba.
Watanzania wanataka amani. CCM wamesema Samia Suluhu ndie atakuwa mgombea urais. Ni wao wenyewe CCM ndio wanaweza kumbadili. Siyo Polepole au Dr. Slaa .
Tayari Polepole ameshaleta madhara sana, anavuruga amani, anataka kufafanua mambo kumbe ndio anazidi kuwavuruga watu .
Bado kuna loose ends which have to be tied up.
Chadema lazima waelewe kwamba wakipewa ruzuku siyo kwa ajili ya kutumia na watu wachache katika Chama chao.
Sasa ambapo Uteuzi umekwisha CCM,wanaweza kusikiliza manung'uniko ya Chadema.
Halafu watu wengine wamekatwa wasigombee ubunge kwa sababu hawskumpendeza Mwenyekiti. Kwa hiyo labda watasubiri mpaka 2030.

Wewe ni rizimoko unashangalia ushindi wa familia sio? Muache tu hana madhara endeleeni kula tu ataacha mmeshajiimarisha sana mbona? Lazima umsifie mama yenu kwa kuwapa ulaji acha waliokosa wajifariji au pia unaumia? Unafikiri atawaharibia?

Hawezi bana kuharibu lolote wakati baba ndo mastermind wa mama. Tunajua meza yenu ina vinywaji vya gharama sana lazima kila anayetaka kuitingisha mumtolee macho ni haki yenu kulinda ugali wenu kwa kete ya "watanzania wanataka amani". Amani maana yake kuwalindia chakula cha familia yenu
 
Na hivi anavyosema kwamba kesho anataka kufanya Press Conference,sijui anataka kusema nini.
Huyu ni mwanasiasa with extremist views,now made worse by his stay in Cuba.
Watanzania wanataka amani. CCM wamesema Samia Suluhu ndie atakuwa mgombea urais. Ni wao wenyewe CCM ndio wanaweza kumbadili. Siyo Polepole au Dr. Slaa .
Tayari Polepole ameshaleta madhara sana, anavuruga amani, anataka kufafanua mambo kumbe ndio anazidi kuwavuruga watu .
Bado kuna loose ends which have to be tied up.
Chadema lazima waelewe kwamba wakipewa ruzuku siyo kwa ajili ya kutumia na watu wachache katika Chama chao.
Sasa ambapo Uteuzi umekwisha CCM,wanaweza kusikiliza manung'uniko ya Chadema.
Halafu watu wengine wamekatwa wasigombee ubunge kwa sababu hawskumpendeza Mwenyekiti. Kwa hiyo labda watasubiri mpaka 2030.
Polepole wants to destabilize the country. Anatumwa na Ford Foundation.
Sasa,hii Ford Foundation ya siku siyo Ile ya zamani alipokuwepo Henry Ford anatengeneza gari kwa kutumia madebe na makopo.
Zamani,Henry Ford alikuwa very progressive,anauliza,kwa nini tunaona upendeleo,watu wachache wanatajirika,kazi wanayoifanya hatuioni?
Mzee Andy unaiabisha familia ya yule Mzee wetu tunayemheshimu nafikiri huko aliko kama anaona yanayoendelea huku na kauli yako hii anajiuliza kama kweli wewe ulikuwa bao lake au alibambikiwa.
 
Na hivi anavyosema kwamba kesho anataka kufanya Press Conference,sijui anataka kusema nini.
Huyu ni mwanasiasa with extremist views,now made worse by his stay in Cuba.
Watanzania wanataka amani. CCM wamesema Samia Suluhu ndie atakuwa mgombea urais. Ni wao wenyewe CCM ndio wanaweza kumbadili. Siyo Polepole au Dr. Slaa .
Tayari Polepole ameshaleta madhara sana, anavuruga amani, anataka kufafanua mambo kumbe ndio anazidi kuwavuruga watu .
Bado kuna loose ends which have to be tied up.
Chadema lazima waelewe kwamba wakipewa ruzuku siyo kwa ajili ya kutumia na watu wachache katika Chama chao.
Sasa ambapo Uteuzi umekwisha CCM,wanaweza kusikiliza manung'uniko ya Chadema.
Halafu watu wengine wamekatwa wasigombee ubunge kwa sababu hawskumpendeza Mwenyekiti. Kwa hiyo labda watasubiri mpaka 2030.
Polepole wants to destabilize the country. Anatumwa na Ford Foundation.
Sasa,hii Ford Foundation ya siku siyo Ile ya zamani alipokuwepo Henry Ford anatengeneza gari kwa kutumia madebe na makopo.
Zamani,Henry Ford alikuwa very progressive,anauliza,kwa nini tunaona upendeleo,watu wachache wanatajirika,kazi wanayoifanya hatuioni?
Kwani anavuruga amani ya CCM au nchi? aliyekuambia ccm ni nchi? yeye anasema mambo ya ccm maana yeye ni mwanaccm aliyeshika nyadhifa mbali mbali huko CCM

Suala la anataka kusema nini subiri hiyo kesho usikie atachosema

Kifupi atavuruga amani ya wana CCM sio nchi kwahiyo mkae kwa kutulia
 
Na hivi anavyosema kwamba kesho anataka kufanya Press Conference,sijui anataka kusema nini.
Huyu ni mwanasiasa with extremist views,now made worse by his stay in Cuba.
Watanzania wanataka amani. CCM wamesema Samia Suluhu ndie atakuwa mgombea urais. Ni wao wenyewe CCM ndio wanaweza kumbadili. Siyo Polepole au Dr. Slaa .
Tayari Polepole ameshaleta madhara sana, anavuruga amani, anataka kufafanua mambo kumbe ndio anazidi kuwavuruga watu .
Bado kuna loose ends which have to be tied up.
Chadema lazima waelewe kwamba wakipewa ruzuku siyo kwa ajili ya kutumia na watu wachache katika Chama chao.
Sasa ambapo Uteuzi umekwisha CCM,wanaweza kusikiliza manung'uniko ya Chadema.
Halafu watu wengine wamekatwa wasigombee ubunge kwa sababu hawskumpendeza Mwenyekiti. Kwa hiyo labda watasubiri mpaka 2030.
Polepole wants to destabilize the country. Anatumwa na Ford Foundation.
Sasa,hii Ford Foundation ya siku siyo Ile ya zamani alipokuwepo Henry Ford anatengeneza gari kwa kutumia madebe na makopo.
Zamani,Henry Ford alikuwa very progressive,anauliza,kwa nini tunaona upendeleo,watu wachache wanatajirika,kazi wanayoifanya hatuioni?
unfounded & another crap. CCM kuismbaratisha Chadema na upinzani na kuiba kura tayari ndiyo wanaharibu amani.

Vipi ile story ya Waislam na JPM na yule mlevi imeishia wapi?
 
Back
Top Bottom