Polepole ana watu na ana hoja, sijui CCM wafanyeje ili kumdhibiti?

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
12,151
Reaction score
44,071
Nimefuatilia hatua kwa hatua mijadala ya Pole pole na kugundua wazi kuwa, kuna mamilioni ya watanzania wanamfuatilia kwa kina Pole pole kile alichokiongea na wengi wao wanamuelewa na kumuamini. Kama kuna namna CCM ilipaswa kumdhibiti kabla lakini kwa sasa imechelewa mnoo, sijui wafanyeje?

Hapa chini ni baadhi ya mambo ambayo Pole pole ameyaibua na kuzaa heka heka nyingi mitandaoni na kwenye jamii.
1. Genge la watu waliopachikwa jina la wahuni (kundi la wanamtandao ikiongozwa na Kikwete na Rostam) lililopora CCM na serikali huku likimuhujumu Magufuli kwa nguvu kubwa.

2. Uhuni wa kisiasa uliotumika kumpitisha Samia kugombea urais ndani ya CCM.

3. Mifumo ya wizi wa kura unaofanywa na CCM kwa kuingilia mifumo ta INEC na Nida.

4. Genge la utekaji linalofadhiliwa na wahuni wa CCM.

5. Wizi wa rasimali unaofanywa na Rostam Aziz chini ya uratibu wa Ikulu.

6. Wizi na ufisadi wa kutisha unaofanywa na viongozi wa serikali.

7. Majaribio kadhaa ya kutaka kumuua Magufuli.

8. Uwepo wa vyama vingi bandia vya upinzani (ikiwemo ACT na CHAUMMA) ambavyo ni project ya CCM kwa 100%.

9. Utata mkubwa wa kifo cha Magufuli huku wanamtandao wakitajwa kuhusika kwa 100%!

10. Tuhuma za ushirikina na usalama usiotabirika katika Ikulu ya Magogoni uliopelekea kwa haraka na lazima kwa Magufuli kukimbilia kuishi na kujenga Ikulu mpya Dodoma.
 
Mi nashangaa tu, Kama serikali na vyombo vyake vote na nguvu zote hawajui pole pole alipo mana yake kuna shida kubwa sana nchini na mpasuko wa hatari sana, yaani serikali imepasuka vipande viwili na pole pole analindwa na upande mmoja wa serikali
 
Nimefuatilia hatua kwa hatua mijadala ya Pole pole na kugundua wazi kuwa, kuna mamilioni ya watanzania wanamfuatilia kwa kina Pole pole kile alichokiongea na wengi wao wanamuelewa na kumuamini. Kama kuna namna CCM ilipaswa kumdhibiti kabla lakini kwa sasa imechelewa mnoo, sijui wafanyeje?

Hapa chini ni baadhi ya mambo ambayo Pole pole ameyaibua na kuzaa heka heka nyingi mitandaoni na kwenye jamii.
1. Genge la watu waliopachikwa jina la wahuni (kundi la wanamtandao ikiongozwa na Kikwete na Rostam) lililopora CCM na serikali huku likimuhujumu Magufuli kwa nguvu kubwa.

2. Uhuni wa kisiasa uliotumika kumpitisha Samia kugombea urais ndani ya CCM.

3. Mifumo ya wizi wa kura unaofanywa na CCM kwa kuingilia mifumo ta INEC na Nida.

4. Genge la utekaji linalofadhiliwa na wahuni wa CCM.

5. Wizi wa rasimali unaofanywa na Rostam Aziz chini ya uratibu wa Ikulu.

6. Wizi na ufisadi wa kutisha unaofanywa na viongozi wa serikali.

7. Majaribio kadhaa ya kutaka kumuua Magufuli.

8. Uwepo wa vyama vingi bandia vya upinzani (ikiwemo ACT na CHAUMMA) ambavyo ni project ya CCM kwa 100%.

9. Utata mkubwa wa kifo cha Magufuli huku wanamtandao wakitajwa kuhusika kwa 100%!

10. Tuhuma za ushirikina na usalama usiotabirika katika Ikulu ya Magogoni uliopelekea kwa haraka na lazima kwa Magufuli kukimbilia kuishi na kujenga Ikulu mpya Dodoma.
Ni useless hakuna kitakachofanyika
 
Mwisho wa maongezi yote ni nini.? Ndio maana hawaoni haja ya kumjibu. Unafikiri akimaliza kuongea tatizo litakuwa limeondoka. Yote hayaondoki mpaka pale watu watakalokuwa tayar kuyaondoa. Na anayoongea wala sio mapya kabisa watu wanayajua na wamekaa kimya
Mwizi akimendea dirishani ukimpigia mayowe tu tyr umemharibia mipango yake
 
Kwanini wamdhibiti??
 
Mwisho wa maongezi yote ni nini.? Ndio maana hawaoni haja ya kumjibu. Unafikiri akimaliza kuongea tatizo litakuwa limeondoka. Yote hayaondoki mpaka pale watu watakalokuwa tayar kuyaondoa. Na anayoongea wala sio mapya kabisa watu wanayajua na wamekaa kimya
Naunga mkono hoja, anayo yaongea yanajulikana, ila yeye ameamua kuthibitisha kiwa ni kweli.
Ila tatizo ni kuwa hakita badilika kitu.
 
Nimefuatilia hatua kwa hatua mijadala ya Pole pole na kugundua wazi kuwa, kuna mamilioni ya watanzania wanamfuatilia kwa kina Pole pole kile alichokiongea na wengi wao wanamuelewa na kumuamini. Kama kuna namna CCM ilipaswa kumdhibiti kabla lakini kwa sasa imechelewa mnoo, sijui wafanyeje?

Hapa chini ni baadhi ya mambo ambayo Pole pole ameyaibua na kuzaa heka heka nyingi mitandaoni na kwenye jamii.
1. Genge la watu waliopachikwa jina la wahuni (kundi la wanamtandao ikiongozwa na Kikwete na Rostam) lililopora CCM na serikali huku likimuhujumu Magufuli kwa nguvu kubwa.

2. Uhuni wa kisiasa uliotumika kumpitisha Samia kugombea urais ndani ya CCM.

3. Mifumo ya wizi wa kura unaofanywa na CCM kwa kuingilia mifumo ta INEC na Nida.

4. Genge la utekaji linalofadhiliwa na wahuni wa CCM.

5. Wizi wa rasimali unaofanywa na Rostam Aziz chini ya uratibu wa Ikulu.

6. Wizi na ufisadi wa kutisha unaofanywa na viongozi wa serikali.

7. Majaribio kadhaa ya kutaka kumuua Magufuli.

8. Uwepo wa vyama vingi bandia vya upinzani (ikiwemo ACT na CHAUMMA) ambavyo ni project ya CCM kwa 100%.

9. Utata mkubwa wa kifo cha Magufuli huku wanamtandao wakitajwa kuhusika kwa 100%!

10. Tuhuma za ushirikina na usalama usiotabirika katika Ikulu ya Magogoni uliopelekea kwa haraka na lazima kwa Magufuli kukimbilia kuishi na kujenga Ikulu mpya Dodoma.
wanaomfuatilia Polepole ni wengi sana, karibu mara milioni zaidi ya wanaosombwa na magari kwenda mikutano ya maigizo ya SA100
 
Ndio ilivyo
Mi nashangaa tu, Kama serikali na vyombo vyake vote na nguvu zote hawajui pole pole alipo mana yake kuna shida kubwa sana nchini na moasuko wa hatari sana, yaani serikali imepasuka vipande viwili na pole pole analindwa na upande mmoja wa serikali
 
Hapa ni IG tu. Bado kuna watu wa live

Hapa anapata hadi 1 million views. Ni mwanasiasa han Tz anapata views za hivyo.

CCM kází mnayo. Nashauri mkae Chini mbadilishe mgombea na kufanya reforms.
Vinginevyo huko mbele hali ni mbaya
Screenshot_20250830-073507.png
 
Back
Top Bottom