Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,156
Ukanda siyo kweli.... Hizi ni propaganda tu. Ila la kukataa kukosolewa ndiyo linaloleta ukakasi. Jee ilikuwa ni tabia yake ya asili au ni matokeo ya taarifa alizokuwa anapewa?Shida yake kubwa ilikuwa ni ukabila na ukanda, pamoja na kushindwa kukubali kukosolewa
Haukuelewa hata hili? JPM hakuwa msukuma na maadui wangetumia hiyo kumdhoofisha ikabidi aji align na hao wa Kanda ya huko Ili angalau awe na uhakika na support Yao na hapo alifanikiwa. Ili watu waku support si lazima kuonyesha kuwa upande wao?Shida yake kubwa ilikuwa ni ukabila na ukanda, pamoja na kushindwa kukubali kukosolewa
Watu wetu wengi hawana hiyo capacity...So saad elimu yetu ni mbovu sana sanaTuliwaasa Magufuli ni jembe matusi yakawa mengi. Haichukui muda kujua mtu aliye-real.
Mwanasayansi hukosolewa kwa Utafiti 😄Shida yake kubwa ilikuwa ni ukabila na ukanda, pamoja na kushindwa kukubali kukosolewa
Mambo mengi hujengwa kwa kufuata taswira ya mitazamo yetu. Leo unajiuliza imekuwaje waliokuwa wapinzani wake ndani ya CCM Leo hii ndiyo wameshika hatamu za kiuongozi ndani ya CCM na serikali?Umechelewa sana kujua mkuu
Rudi tena kutafakari...Shida yake kubwa ilikuwa ni ukabila na ukanda, pamoja na kushindwa kukubali kukosolewa
Kwanini unawalaumu vyombo vya ulinzi ilihali unawajua wanaowateua???Lawama kubwa zinaenda Kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama...Wanalinda waovu zaidi ya kulinda watu wema, walio na maamuzi wengi wanakuwa corrupted na wanaobaki wanakuwa hawana namna ya kufanya
Yes, ila suala la matibabu ya TAL lilimchafua.Wakati akiwa hai nilikuwa namuona John Pombe Magufuli pamoja na kutaka aonekane mzalendo, niliona kuwa ni mtu asiye na nia njema Kwa Taifa letu na mtaka sifa.
Lakini baada ya Polepole kuelezea mambo mengi yaliyokuwa yanafanyika nyuma ya pazia, sasa nimeanza kuelewa kuwa Magufuli alikuwa na dhamira njema kwa Tanzania.
Kumbe Magufuli baada ya kugundua fedha zinachotwa serikalini, yeye akaamua kuziwekeza kwenye miradi ili kama ni madeni ni bora watanzania walipe lakini wakiwa wana miundombinu inayowasaidia kuendesha maisha yao.
Zile hotuba zake kama anapambana na mara majeshi au watumishi wa Serikali, Leo zinaleta mantiki zaidi kuliko wakati akizitoa.
Magufuli alikuwa anajua yupo peke yake kwenye harakati za kuijenga Tanzania maana hata watu kama Makonda kumbe nao Wana vimelea vya CCM mtandao.
Ukweli utajulikana siku moja.
alikuwa anajua wahuni tu, ndio maana alikuwa hataki wasikiliza. Na alipo jaribu wasikiliza na kukaa nao ndio ukawa mwisho wakeShida yake kubwa ilikuwa ni ukabila na ukanda, pamoja na kushindwa kukubali kukosolewa
Makonda ndiye alitoa password kwa wauaji wa Magufuli ndiyo maana yuko pamoja nao leo hii bega kwa bega.Wakati akiwa hai nilikuwa namuona John Pombe Magufuli pamoja na kutaka aonekane mzalendo, niliona kuwa ni mtu asiye na nia njema Kwa Taifa letu na mtaka sifa.
Lakini baada ya Polepole kuelezea mambo mengi yaliyokuwa yanafanyika nyuma ya pazia, sasa nimeanza kuelewa kuwa Magufuli alikuwa na dhamira njema kwa Tanzania.
Kumbe Magufuli baada ya kugundua fedha zinachotwa serikalini, yeye akaamua kuziwekeza kwenye miradi ili kama ni madeni ni bora watanzania walipe lakini wakiwa wana miundombinu inayowasaidia kuendesha maisha yao.
Zile hotuba zake kama anapambana na mara majeshi au watumishi wa Serikali, Leo zinaleta mantiki zaidi kuliko wakati akizitoa.
Magufuli alikuwa anajua yupo peke yake kwenye harakati za kuijenga Tanzania maana hata watu kama Makonda kumbe nao Wana vimelea vya CCM mtandao.
Ukweli utajulikana siku moja.
Wamefundishwa jinsi ya ku deal na challenges hizo zote...Kama hawapo corrupted wasingeruhusu hao waote mizizi...Halafu vile viapo wanajua tafsiri yake? Unaapa kulinda individual au mamlaka? Na je unatofautishaje individual na mamlaka yake?Kwanini unawalaumu vyombo vya ulinzi ilihali unawajua wanaowateua???
Wewe ni boss ukiniteua niwe RPC unadhani nitatenda kinyume na matakwa yako?
YES... The guy was purely a scientist some sort of technocrats like China President Xi Jinping!Mwanasayansi hukosolewa kwa Utafiti 😄