Polepole ajifunze kusoma alama za nyakati na aheshimu ulimwengu

Polepole Ni mtu smart Sana.. lakini Magufuli alimgeuza na kuwa mtu mpuuzi na takataka.

Sasa anajaribu kutuomba msamaha sisi tuliomuona mtu wa maana kipindi Cha nyuma..anatuomba msamahakwa kiujanja ujanja..
Binafsi neendelea kumsikiliza lakini siwezi kumsamehe.
 
Thanks
 
Akina pole2 wametusumbua sana. Lkn pia Kuna watu walikuwa wanawasingizia kesi watu ili wapate vyeo. Jamaa walisumbua sana

Remember that day watu wanahoji kupitia report ya CAG kuwa zile 1.5trillion ziko wapi akawa anasema yeye atatoa darasa kuonesha zile pesa zimeenda wapi,zezeta Sana huyu jamaa
 

He has never been such smart,tokea kipind kile yupo katika kigoda Cha mwalim nyerere na Mzee butiku na watu wengineo,alionekana waz waz kuwa ni mchumia tumbo tuh,karma inamuhukum
 
Unaijua Vieitee wewe?
 
Kwani Polepole anachokifundisha amesema kipo katika Serikali ya Mama Samia? Amesema Serikali ya awamu ya 6 imepigwa copy? Binafsi naona Polepole anachokielezea nchi nyingi za Africa kipo na ndiyo kinatupa mkwamo katika maendeleo ya mataifa yetu.

Kama hakipo sasa anakieleza Cha Kaz gan?

Na anataka kumaanisha kitu gan,yeye hayupo tuh Kwenye inner circle atulie zama zingine zimeshaingia,akubaliane na hali asonge mbele
 
Kutoa maoni ni makosa au mnataka watu wasiongee

Kipind ambacho yeye na marehem wapo madarakan mbona hawakutoa room ya watu kukosoa,na kila aliekosoa alionekana kuwa siyo mzalendo??

Kumbe freedom of speech ni tamu Sana,ndiyo atambue sasa
 
Hata km tunamchukia polepole tucheukue mawazo yake yatatusaidia
Kipind ambacho yeye na marehem wapo madarakan mbona hawakutoa room ya watu kukosoa,na kila aliekosoa alionekana kuwa siyo mzalendo??

Kumbe freedom of speech ni tamu Sana,ndiyo atambue sasa
 
Polepole haamini macho yake, kasaidia wengi kupata teuzi mbalimbali kwa mwendazake, Ma-RC ,DC na MaDED wengi walimnyenyekea na kuamini kuwa ukiwa na connection nae basi ndio mpango mzima! Ghafla yeye binafsi sasa hana mtu hata mmoja wa kumpambania kupata teuzi , akifikilia cheo alichokuwa kaandaliwa na Mwendazake anachanganikiwa!
CCM wamsaidie kujiludi kwa kumvua kaubunge viti maalum walikompa, waanze kwa kumvua uanachama, Baada ya hapo iundwe tume ya kuchunguza miamala ya akaunt zake kwa miaka 5, ninaamini kuna kitu watapata!
CCM ilikusanya fedha nyingi bila matumizi, ilitaifisha fedha na mali nyingi bila utaratibu! Naamini hiki kiburi chake ni pesa inayosoma kwenye akaunt yake!
 
Wote,weye na yeye,ni miCCM.Mtulie.
 
Kwani Polepole anachokifundisha amesema kipo katika Serikali ya Mama Samia? Amesema Serikali ya awamu ya 6 imepigwa copy? Binafsi naona Polepole anachokielezea nchi nyingi za Africa kipo na ndiyo kinatupa mkwamo katika maendeleo ya mataifa yetu.
Angekua mkweli angekemea tangu wakati ule, akajikausha. Haaminiki tena. Inahitaji msuli kuweza kumtetea huyu jamaa ukaeleweka. Anazo hoja lakini yuko biased. Why now?
 
Ni kwa sababu hayo yote yalikuwepo in less than 7 months back na hakusema hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…