Polepole ajifunze kusoma alama za nyakati na aheshimu ulimwengu

Friends and Our Enemies,

Hakuna mwalimu bora wa kipind chote kama muda,muda tokea zama na zama umekuwa ni mwalim shupavu Sana ambae anaweza kutoa elimu ambayo ikaeleweka kwa kila mwenye akili timamu bila ya kutumia NGUVU kubwa sana,

Bahati kubwa sana kwa kizaz hiki mwalim.mwingine ambae ameongezeka ni Teknolojia,

Pole pole,yapata miez sita hiv sasa baada ya msiba mkubwa kabisa kulikumba Taifa letu,msiba ambao ni vigum kuupokea lkn kwa kuwa safar hii ni yetu sote hatuna budi kuupokea na kuendelea na maisha,tupo kwenye foleni hakuna atakaebakia kwenye safar hii,

Pole pole,amekataa kabisa kukubaliana na hali hii kias Cha kupelekea kuongea vitu vinavyomfanya aonekane kama ni mtu ambae amerukwa na akili,

Amesahau kabisa miez sita iliyopita yeye na baadh wenzake ndiyo walikuwa watu special ambao wametengeneza kikundi Chao ambacho ni UNTOUCHABLE...NDAN NA NJE YA CHAMA...

Ukithubutu kukosoa au kuhoji maamuz yoyote ndan ya kikundi hiko basi utakiona Cha mtema Kuni,ni kikundi ambacho kilijivisha ngozi ya kondoo huku kikihubiri uzalendo na utiifu kwa kiongoz mkuu kwa asilimia mia moja,leo kiongoz wa kikundi hiko ambacho pole pole na wenzake walikuwa walinz wa legacy ile hayupo,

Kukosekana kwa kiongoz huyo pole pole na wenzake kama Cyprian musiba,makonda,Sabaya n.k hawaamin kuwa it's all over na wanashindwa ku move on na maisha ya kawaida,

Wanachoshindwa kuelewa ni kwamba muda na Teknolojia vinawaumbua na kuwafanya waonekane vituko ndan ya ccm na nje ya ccm,kama hawakuweza ongea chochote kipind Taifa lipo kwenye majaribu makubwa hawawez eleweka wakijitokeza saiz na kuongelea mwenendo wa serikali ambayo wao wenyewe wameshiriki kuiunda na kuitetea,

Kinachomsumbua pole pole kwa sasa siyo uzalendo Wala uchungu wa nchi yake,kinachomnyima usingizi ni ile Hali ya kutoamin kuwa yeye si chochote Wala lolote katika serikali hii na kwamba hayupo Tena kwenye hiyo PARRALLEL STATE ambayo walishaitengeneza kuitafuna nchi hii...

Pole pole ajifunze kusoma alama za nyakati na aheshimu ulimwengu kwani siku zote sponsor nae hufariki...
Wewe ni mmoja wa watu wanaoishi na hisia kali za chuki.

Pokepole, katika mafunzo yake hajapata kukosoa au kushadidia siasa zinaoendelea na kuendeshwa nchini.

Polepole anatoa mafunzo ya Elimu ya Sayansi ya Jamii, Siasa na Uchumi na Uongozi kwa ujumla.
 
Hujamwelewa Polepole ndomana unamjibu kihisia, hii inaonesha dhahili ulivyo na mapenzi na watu furani. Pengine unamasilahi na watu hao wachache ama huelewi maana ya parallel state umekurupushwa, nenda kajifunze tena utapata majibu kuna watu wapo nyuma ya stage wanaongoza hii nchi na sio mama samia.
Kitabu usichoandikiwa wewe huezi elewa maana yake.
Parallel state ipo.
 
Friends and Our Enemies,

Hakuna mwalimu bora wa kipind chote kama muda,muda tokea zama na zama umekuwa ni mwalim shupavu Sana ambae anaweza kutoa elimu ambayo ikaeleweka kwa kila mwenye akili timamu bila ya kutumia NGUVU kubwa sana,

Bahati kubwa sana kwa kizaz hiki mwalim.mwingine ambae ameongezeka ni Teknolojia,

Pole pole,yapata miez sita hiv sasa baada ya msiba mkubwa kabisa kulikumba Taifa letu,msiba ambao ni vigum kuupokea lkn kwa kuwa safar hii ni yetu sote hatuna budi kuupokea na kuendelea na maisha,tupo kwenye foleni hakuna atakaebakia kwenye safar hii,

Pole pole,amekataa kabisa kukubaliana na hali hii kias Cha kupelekea kuongea vitu vinavyomfanya aonekane kama ni mtu ambae amerukwa na akili,

Amesahau kabisa miez sita iliyopita yeye na baadh wenzake ndiyo walikuwa watu special ambao wametengeneza kikundi Chao ambacho ni UNTOUCHABLE...NDAN NA NJE YA CHAMA...

Ukithubutu kukosoa au kuhoji maamuz yoyote ndan ya kikundi hiko basi utakiona Cha mtema Kuni,ni kikundi ambacho kilijivisha ngozi ya kondoo huku kikihubiri uzalendo na utiifu kwa kiongoz mkuu kwa asilimia mia moja,leo kiongoz wa kikundi hiko ambacho pole pole na wenzake walikuwa walinz wa legacy ile hayupo,

Kukosekana kwa kiongoz huyo pole pole na wenzake kama Cyprian musiba,makonda,Sabaya n.k hawaamin kuwa it's all over na wanashindwa ku move on na maisha ya kawaida,

Wanachoshindwa kuelewa ni kwamba muda na Teknolojia vinawaumbua na kuwafanya waonekane vituko ndan ya ccm na nje ya ccm,kama hawakuweza ongea chochote kipind Taifa lipo kwenye majaribu makubwa hawawez eleweka wakijitokeza saiz na kuongelea mwenendo wa serikali ambayo wao wenyewe wameshiriki kuiunda na kuitetea,

Kinachomsumbua pole pole kwa sasa siyo uzalendo Wala uchungu wa nchi yake,kinachomnyima usingizi ni ile Hali ya kutoamin kuwa yeye si chochote Wala lolote katika serikali hii na kwamba hayupo Tena kwenye hiyo PARRALLEL STATE ambayo walishaitengeneza kuitafuna nchi hii...

Pole pole ajifunze kusoma alama za nyakati na aheshimu ulimwengu kwani siku zote sponsor nae hufariki...
Huyu nae toka atolewe kwenye vietel anaweweseka Sana,sasa sijui alijua enzi huwa zinadumu Milele..

Haka kajamaa kana hulka za udikteta sijui hakana Kazi za kufanya..
 
mkuu mpaka ukamsikiliza kabisa lecture yote ile????

lazima una ombwe la kutojiamini!! kwa nn hauku mu ignore?

angalia comments za watu youtube zake, utaona kuna mahali hakuna anayejua au kuwaza kama wewe...

mkuu makonda anapiga hela na famasi zake, Polepole unamjua baada ya JPM haujui hata kazi yake before!

inachukua maamuzi ya kiume, magumu kuwa au kufanya kama polepole hata kama aliwahi kumesup

sasa wewe ambaye hauna Id hauna address, low life unasemaje?
 
Mwenzio yupo jikoni wewe unaebisha uko Tandahimba unalima korosho.
Labda useme yuko kwenye stoo ya mkaa huko, ndiyo maana kila siku kelele nyingiii akilakamikia vumbi la mkaa huku wenzake akina Marope Jr wakielekea sebuleni kwenye bufeee
 
Cha kushangaza CDM hawahawa walioteswa na mkono wa Polepole leo wanamshabikia, TZ hamna upinzani ni ujinga mtupu
 
Wewe ni mmoja wa watu wanaoishi na hisia kali za chuki.

Pokepole, katika mafunzo yake hajapata kukosoa au kushadidia siasa zinaoendelea na kuendeshwa nchini.

Polepole anatoa mafunzo ya Elimu ya Sayansi ya Jamii, Siasa na Uchumi na Uongozi kwa ujumla.
Ni kwanini atoe hayo mafunzo wakati huu na si wakati hule?
 
Nikimsikiliza Polepole wala sion kama kuna mtu kamshambulia ye anaendana na somo lake, Historia ya kweli yq nchu mbalimbali nass tuwe macho kuepukana na vitu hivo! Chaajabu watu mnaibuka kumpinga as if kuna mtu anamtaja kwenye somo lake.

Ngoja tupigwe kwanza ndipo tutamuelewa!
 
Mimi furaha yangu ni jinsi hawa fisi wakitifuana
FB_IMG_1616545580714.jpg
 
Thank you, proud of kuliko hiko anachokifanya huyo fa.la pole pole
Nakubaliana nawewe THE BIG SHOW hili genge la polepole enzi za magufuli ndio lilikuwa Sheria ndio waliamuwa Nani afe Nani aishi leo mpumbavu huyu amepigwa kumbo kwenye keki ya taifa anajidai anaanzisha shule ya unafiki mtupu. Na bado mabaya yanakuja juu yake. Ajiulize mbona mwenzake bashiru ameamuwa kuplay low profile?

Pole pole akumbuke majina haya enzi zao za viieiteee.

Humphrey Polepole
Bashiru A. Kakurwa
Sipriani musiba
Paul Makonda
Lengai ole Sabaya
Ali Happy

Polepole unakumbuka hii team?
 
Back
Top Bottom