Poleni Watanganyika, Umakamu wa Rais umewalazimu muwe watulivu

Ilikuw kawaida tokea Mzee Mwinyi alipomaliza muda wake wa Urais, hatukuwa na namna ya kumpata Rais mwingine toka Zanzibar.
Wazanzibar tulibakia na Umakamu tu na mpaka ikawa ndio majaliwa yetu. Lakini kifo cha Magufuli kimeleta jambo lisilozoweleka.

Kazi za Makamu wa Rais ni kufungua makongamano na kutembea na mikasi kufungua miradi na majengo au kuweka mawe ya msingi.
Pili ilikuwa kushughulikia Mazingira.

Uendeshaji wa Serikali ulikuwa chini ya Rais na Waziri Mkuu, sasa kibao kimegeuka. Najua mnatamani mbadili Katiba ili angalau Makamu aongezewe status katika maamuzi, lakini itabidi mvumilie mpaka pale mama atakapoona kuwa inafaa hivyo.

Natamani pia kuona Serikali ya mama akimteua Mkuu wa Usalama Mzanzibari, Mkuu wa Majeshi Mzanzibari na Mkuu wa Polisi Mzanzibari ili combination iwe sawia.

Ndugu zetu watanganyika wabakie na Maboksi ya Mikasi na Makamu wao ili waone ladha ya umuhimu wa Serikali Tatu zilizopendekezwa na Warioba.

Ungejua jinsi sisi watanganyika tulivyofurahi,ungecheka sana.Na tunataka Zanzibar urudishiwe haki yake maana hatupendi tena tuje tusikie,Tanganyika imevaa koti la muungano na imeiacha Zanzibar kwenye baridi.Rekebisha kila kitu kabisa.
 
Usisahau hata Mzee Mwinyi hakuwa mnzanzibar kama unavyosema. Mzee mwinyi ni Mzaramo wa mkuranga, au hilo nalo ulikuwa ulijui? Zanzibar yenyewe imejaa wazaramo, wanadengereko, wasukuma, wanyamwezi na wamakonde. Na siku hizi hata wamasai nao wameanzaa kuja huko na wao wanajiita wanzanzibar. Wenye Zanzibar yao ukiwataka miaka hii lazima uwatafute sana na unaweza usiwapate kabisa.
Una ka ukweli fulani.
Lakini wazanzibari wenyewe wapo ,wakiwemo na hao wazaramo na wamakonde, kwa mujibu wa sheria ,na tamko la mwaka 1964 la Mzee karume , na wao pia ni wazanzibari.

Tanznia ni muungano wa Nchi mbili
Katiba ya Zanzibar pia inaitambua Utaifa wa Zanzibar
1. Zanzibar ni Nchi ambayo eneo la mipaka yake ni eneo lote la
Visiwa vya Unguja na Pemba pamoja na Visiwa vidogo vilivyoizunguka
na bahari yake ambayo kabla ya Muungano wa Tanganyika na
Zanzibar ikiitwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar.
2. Zanzibar ni miongoni mwa Nchi mbili zinazounda Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania
 
Attachments

  • NYERERE ANAJUA KUWA TANZANIA IMEUNDWA NA NCHI 2 HURU .mp4
    15.5 MB

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Sisi tunafikiri kabla ya Matokeo kuibuka,
Huenda muliona kuwa Serikali Tatu hazina lazima kwa sasa ,lakini itafika wakatiNyinyi wenzetu wa Bara mutazidai.
Sisi ni wamoja,tulio ungana,lakini ni watu tofauti kama mulivyo nyi nyi na makabila tofauti na hulka tofauti, hatusemi Raisi kila siku akitokea Kanda fulani haina shida ilimradi ni mtanzania,
Hili lina mantiki yake kuzingatiwa ,Kanda,Dini,Jinsia, na ikiwezekana, hukombeleni hata Umri,
mazingatio haya yana maana kubwa kwa Taifa lenye Afya wakati wote
 
ukoloni kivipi? yaani nchi zikiungana kuwa kitu kimoja ni ukoloni? yaani Tanganyika inakubaliana na Zanzibar zinaungana na kuwa nchi moja ya Tanzania ambayo raia wake wote wa kutoka pande mbili wanakuwa na haki sawa, ndio ukoloni? yaani hii inafanana na ile ya Uingereza kuitawala Tanganyika?

sasa kama kuungana na kuwa nchi moja kungekuwa ukoloni kwa Zanzibar iweje sasa hii ya kuungana na kuifuta Tanganyika isiwe ni ukoloni kwa Tanganyika?
Kwanza kabisa, elewa kwamba nawakilisha maoni ya Nyerere yaliyomfanya atake Muungano wa aina hiyo, haya si maoni yangu.

Aliona muungano wa nchi kubwa kama Tanganyika na visiwa vidogo kama Zanzibar, kwa kuunda nchi moja na serikali moja, utakosa uwiano, Tanganyika itakuwa imeimeza nchi ya Zanzibar na kuifanya kuwa kama mkoa wake, kama si wilaya.

Kwa mujibu wake, kuifuta Tanganyika hakungeweza kuwa ukoloni kwa sababu wananchi wa Tanganyika wangeendelea kuwa na ushawishi mkubwa kupitia serikali ya Muungano.

Kwa maelezo zaidi soma kitabu cha mwanazuoni ninayemfuatilia vizuri kumsoma Professor Paul Bjerk "Building A Peaceful Nation-Julius Nyerere And The Establishment Of Sovereignty In Tanzania 1960-1964.

Nakiambatanisha kitabu hapa wanaopenda kusoma wasome ili tufanye mjadala uliojikita katika hoja za kisomi zaidi na sources, zaidi ya mabishano ya kiushabiki na soga tupu.
 
Attachments

  • Building_A_Peaceful_Nation-Julius_Nyerere_And_The_Establishment_Of_Sovereignty_In_Tanzania_196...pdf
    10 MB · Views: 6
Una ka ukweli fulani.
Lakini wazanzibari wenyewe wapo ,wakiwemo na hao wazaramo na wamakonde, kwa mujibu wa sheria ,na tamko la mwaka 1964 la Mzee karume , na wao pia ni wazanzibari.

Tanznia ni muungano wa Nchi mbili
Katiba ya Zanzibar pia inaitambua Utaifa wa Zanzibar
1. Zanzibar ni Nchi ambayo eneo la mipaka yake ni eneo lote la
Visiwa vya Unguja na Pemba pamoja na Visiwa vidogo vilivyoizunguka
na bahari yake ambayo kabla ya Muungano wa Tanganyika na
Zanzibar ikiitwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar.
2. Zanzibar ni miongoni mwa Nchi mbili zinazounda Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania
Nilikuwa najaribu kuelezea hizo point alizozisema Nyerere hapo kwenye video, shukurani sana kwa kuweka video ya Baba Kabwela akifafanua mwenyewe kwa uwezo wake mkubwa wa uchambuzi ambao mimi sijauweza kuufikia.
 
ukoloni kivipi? yaani nchi zikiungana kuwa kitu kimoja ni ukoloni? yaani Tanganyika inakubaliana na Zanzibar zinaungana na kuwa nchi moja ya Tanzania ambayo raia wake wote wa kutoka pande mbili wanakuwa na haki sawa, ndio ukoloni? yaani hii inafanana na ile ya Uingereza kuitawala Tanganyika?

sasa kama kuungana na kuwa nchi moja kungekuwa ukoloni kwa Zanzibar iweje sasa hii ya kuungana na kuifuta Tanganyika isiwe ni ukoloni kwa Tanganyika?
Msikilize Nyerere mwenyewe anaongea hapa.

Ilikuw kawaida tokea Mzee Mwinyi alipomaliza muda wake wa Urais, hatukuwa na namna ya kumpata Rais mwingine toka Zanzibar.
Wazanzibar tulibakia na Umakamu tu na mpaka ikawa ndio majaliwa yetu. Lakini kifo cha Magufuli kimeleta jambo lisilozoweleka.

Kazi za Makamu wa Rais ni kufungua makongamano na kutembea na mikasi kufungua miradi na majengo au kuweka mawe ya msingi.
Pili ilikuwa kushughulikia Mazingira.

Uendeshaji wa Serikali ulikuwa chini ya Rais na Waziri Mkuu, sasa kibao kimegeuka. Najua mnatamani mbadili Katiba ili angalau Makamu aongezewe status katika maamuzi, lakini itabidi mvumilie mpaka pale mama atakapoona kuwa inafaa hivyo.

Natamani pia kuona Serikali ya mama akimteua Mkuu wa Usalama Mzanzibari, Mkuu wa Majeshi Mzanzibari na Mkuu wa Polisi Mzanzibari ili combination iwe sawia.

Ndugu zetu watanganyika wabakie na Maboksi ya Mikasi na Makamu wao ili waone ladha ya umuhimu wa Serikali Tatu zilizopendekezwa na Warioba.

Ateue tu hao Wazenji. Wazenji Siyo mafisadi kama watu wa up country. Yaani kama wataweza kuyadhibiti haya mafisadi yetu ya huku mbona hakuna tatizo hata kidogo...!!
 
Tanzania ni taifa lililokomaa kisiasa kuliko mataifa zaidi ya 98% hapa Africa
1. A peaceful transition ilihakikisha Samia anakuwa Rais
2. Tanzania hakuna ukabila au ubaguzi wa aina yoyote. Nenda kenya au Rwanda watu ofisini counter ya Benki wanaongea kilugha, huwezi kukuta duka la Mkikuyu anayeuza ni mjaluo, never.

Watanzania hawjali kabila gani ni Rais. na baada ya Samia Rais ni Mzanzibar
Mbegu ya chuki, ukabila na udini wako wajinga wamekuwa wakiipandikiza TULIONYA HAWAKUSIKIA ACHA TUVUNE...
 
Unajua kwanini wazanzibar wengi uwezo wao wa kufikiri Ni mdogo? It's simple wale wakizaliwa wanabonyezwa kisogoni ili wasiwe na kisogo wasijue kwamba wanaharibu central processing ya Brain at the end wanaishia kuwa matahira au people with low thinking capacity.

Kupewa nchi Mzanzibar atawale bara na visiwani itokee tu Kama hivi ila haiwezekani.
Ndo tayari sasa unajisikiaje Mzenji yuko kwenye usukani...
Unachojisahaulisha wewe na unaofanana nao ni kuwa hata Mzee Ruksa alivyoingia madarakani aliwakuta baba zenu wakienda utupu na na kupekua kama kuku... hakukuwa na tv na redio zilikuwa mpaka watu waanike betri juu ya bati labda hujasimuliwa... wala hujaambiwa sabuni za kuogea kama rexona na lux zilikuwa anasa... wala hufahamu watu walitumia pipi na sukari guru badala ya sukari kwenye chai kabla ya mzee Ruksa... watu walivaa marapurapu na chachacha "saasita utanikoma!"
Komaa Mkuu ila vema ukumbuke historia...
 
Nyerere anafananisha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kama United States, sasa United States zile state zina state government na kisha kuna federal government

Sasa kwa case ya Tanganyika na Zanzibar, mbona hakuna state government ya Tanganyika?
Nimemuelewa Nyerere alichokuwa anataka kukisema. Ila mfano wake nadhani haukuwa mfano bora...
 
Awamu ya tano (hapa kazi tu) makamu wa rais hakuwa na kazi yeyote. kazi zote za uzinduzi/ufunguzi zilifanywa na jiwe hata ambazo zilistahili kufanywa na DC, jamaa alikuwa anapenda asifiwe yeye tu.

Posho Zote za nje zilienda wapi. Alipata Kazi kuliko wakati mwingine wowote ule Nchi hiyo.
 
Acha uchochezi, watanganyika tumempokea mama kwa mikono miwili na tuna mpango w kumlazimisha atawale milele hata kama atakataa basi kutachimbika kwa maandamano ya kufa mtu tutakayoandaa.
 
Nyerere anafananisha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kama United States, sasa United States zile state zina state government na kisha kuna federal government

Sasa kwa case ya Tanganyika na Zanzibar, mbona hakuna state government ya Tanganyika?
Amefananisha kwa muktadha kwamba kila state ina uhuru wake.

Lakini pia anesema muungano wa serikali tatu kwa mfumo wetu utaifanya Tanganyika iimeze Zanzibar na serikali ya Muungano iwe haina kazi. Kama Russia Federation ya Boris Yeltsin.

Tanganyika na Zanzibar hazikuwa na parity ya ardhi wala population. Muungano wa serikali tatu, kwa mujibu wa Nyerere, ungekuwa lopsided. Zanzibar ingekuwa kama mkoa ndani ya Tanganyika na hilo lingeleta matatizo, kwa sababu Wazanzibari walikuwa nchi huru tayari na walikuwa na seat at the United Nation.

You can't say the same for the US states.
 
Unajua kwanini wazanzibar wengi uwezo wao wa kufikiri Ni mdogo? It's simple wale wakizaliwa wanabonyezwa kisogoni ili wasiwe na kisogo wasijue kwamba wanaharibu central processing ya Brain at the end wanaishia kuwa matahira au people with low thinking capacity.

Kupewa nchi Mzanzibar atawale bara na visiwani itokee tu Kama hivi ila haiwezekani.
Acha ukuda,amir jeshi ni mzanzibar na safar hii lazima mnyooke watanganyika.
 
Back
Top Bottom