Poleni wasomaji wa JAMHURI

Poleni wasomaji wa JAMHURI

JAMHURI :
Kashfa yamkumba Naibu Spika - Ndugai !
• Mwanamke " mgeni wake " adaiwa kumkopa maelfu ya Dola kitaalamu

• Yeye amgeuzia kibao mtumishi wa ndani, amsweka rumande siku 7

• Mtumishi wa ndani afukuzwa, aielekeza JAMHURI kila kilichotokea

• Walinzi wawili wa kike wasimamishwa , mishahara , posho zafyekwaa

Hivi Jamhuri ni tabloid newspaper? This sounds to me like a yellow journalism.

Yellow journalism is a type of journalism that presents little or no legitimate well-researched news and instead uses eye-catching headlines to sell more newspapers.

Techniques may include exaggerations of news events, scandal-mongering, or sensationalism.

By extension, the term yellow journalism is used today as a pejorative to decry any journalism that treats news in an unprofessional or unethical fashion.

Yellow journalism - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Ilishatokea tena huko nyuma wakadai kuwa tukio hilo limewafanya wajenge website kwa kasi kubwa na anwani yake ni www.jamhurimedia.co.tz.

Hata hivyo, hiyo website haipatikani.

Bongo full of ngonjera. Hard to trust anyone.
Hii ni promotion ya huyu mchumia tumbo Manyerere. Hakuna kitu kama hicho! Ni yaleyale ya mambo ya misukule na waganga feki wa kienyeji! Kama kuna mtu kanunua yote si wachapishe tena hiyo habari na tena na tena na tena!
 
Nawapa pole wasomaji wa JAMHURI, hasa katika Mji wa Dodoma kwa kukosa Gazeti hilo leo. Kilichotokea ni kwamba watu fulani walioguswa na habari wasiyoitaka, wamenunua magazeti yote mitaani.

Hii tabia sasa inaelekea kukubuhu, kwani ni juzi tu Tanzania Daima nalo lilinunuliwa lote baada ya kuwa na habari isiyowafurahisha watu fulani fulani.

Aidha, mwaka jana JAMHURI lilinunuliwa lote nchi nzima na kuteketezwa baada ya kuandika habari za CAG zilizomhusu tajiri fulani.

Ni mambo ya kusikitisha.

Manyerere, mficha uchi hazai, mficha maladhi kifo humuumbua....wazanaki walisema!
 
Kuuza muuze mpige mihela halafu mnajifanya kutupa pole minafiki hii miandishi!!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Nawapa pole wasomaji wa JAMHURI, hasa katika Mji wa Dodoma kwa kukosa Gazeti hilo leo. Kilichotokea ni kwamba watu fulani walioguswa na habari wasiyoitaka, wamenunua magazeti yote mitaani.

Hii tabia sasa inaelekea kukubuhu, kwani ni juzi tu Tanzania Daima nalo lilinunuliwa lote baada ya kuwa na habari isiyowafurahisha watu fulani fulani.

Aidha, mwaka jana JAMHURI lilinunuliwa lote nchi nzima na kuteketezwa baada ya kuandika habari za CAG zilizomhusu tajiri fulani.

Ni mambo ya kusikitisha.

Lakini na wewe uache woga....andika wahusika tuwajue na uachane na neno "FULANI"
 
Ni habari gani iyo jamani?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ili kuwa tajiri mwezi huu fanya hivi kila wakinunua wewe chapa taarifa ile ile kwa ajili ya kesho yake hadi uwe tajiri ndani ya wiki tatu zijazo. Cheza na Jamhuri weye!!!

Nimecheka kama mwendawazimu!!! Hili gazeti la JAMHURI kama linaweza kuandika mavitu hadi ''wenyewe'' wanaamua kulinunua kwa mpigo hivyo mbona halijajulikana au kutawanyika kihivyo kama ilivyokua Mwanahalisi? au ndo linahujumiwa kabla halijafahamika zaidi?
 
Weka mtandaoni. Hii ni karne ya digitali hata wakinunua nakala zote haisaidii. Weka link ya gazeti bwana Jacton Manyerere.
Manyerere Jackton weka Link acha ubabaishaji km ni Issue ya Pembe au huyo tajiri Ojungo wa arusha si ungetuwekea hata humu Jukwaani
Mara nyingi Mzee wa Kwembe tunakuamini na umeingia humu kwa nia hiyohiyo kwa nini usilimwage gazeti zima?
 
Last edited by a moderator:

ndio hivyo,vinginevyo haina haja ya kuja jukwaani kutoa pole..
 
Last edited by a moderator:
...Hakuna lolote! alitaka tu kutufanya wajinga kwa kupigia promo gazeti lake kwa kujifanya linapendwa sana! ni AIBU KUBWA SANA kwa muandishi ka Manyerere kutuwekea hapa habari yenye FULANI, WATU FULANi ha hali watu wenyewe wameishalinunua kwa wingi na kwamba kila mtu anajua ni kina nani, kasoro sisi hapa JF!! Tumeshitukia dili. fanyeni kazi mupate Sifa muitakayo na siyo kutafuta maujiko kwwa kupitia njia FULANI za Panya...!!!:suspicious:
 
Back
Top Bottom