Walipewa miezi mitatu ndugu na imeisha,ya kua walipaswa kuandaa mazingira huko walikopelekwa ndani ya huo muda na hawajafanya hvyoWadau!!
Ile ahadi ya raisi ya kufanya shughuli zao mpaka hata katikati ya mji mpaka hapo watakapotengewa maeneo yao, imeyeyuka.
Ni asubuhi ii tu, watu wameamka na kukuta mabanda yao(vitega uchumi vyao) vikiwa chini na polisi pamoja na mgambo kibao kila kona.
Poleni sana ndugu wa Makoroboi, maduka tisa sokoni na kwengineko.
Walipewa miezi mitatu ndugu na imeisha,ya kua walipaswa kuandaa mazingira huko walikopelekwa ndani ya huo muda na hawajafanya hvyo