Poleni wamachinga wa Mwanza

tereweni

JF-Expert Member
Aug 15, 2012
617
361
Wadau!!

Ile ahadi ya raisi ya kufanya shughuli zao mpaka hata katikati ya mji mpaka hapo watakapotengewa maeneo yao, imeyeyuka.

Ni asubuhi ii tu, watu wameamka na kukuta mabanda yao(vitega uchumi vyao) vikiwa chini na polisi pamoja na mgambo kibao kila kona.

Poleni sana ndugu wa Makoroboi, maduka tisa sokoni na kwengineko.
 
Acha walipe walichopanda.....


chichiem ni kama demu hasiependeka.....
ukijipendekeza unakula za uso..


Acha wanywe maji mwanangu...!
 
mwanza acha waisome namba walidangaywa eti wachague ngosha mwenzao waachane na ukawa ya wachaga!
 
Naona migambo na police wametanda kufanya usafi huku daaah digits zinasomeka tu nw
 
Si ndio hao wakiambiwa mtazoa magwangala bure wanachekelea mpaka jino la mwisho linaonekana,Wacha waendelee kupewa ahadi hewa

[HASHTAG]#Tukutanee[/HASHTAG] 2020
 
Naona dalili ya vurugu kubwa sana leo Mwanza. Malori yako kazini kuharibu na kusomba vitu vya machinga na kuwapelekea vijana walioshindikana ( Igogo )....!!! Poleni machinga na wanaowategemea pia maana ndoto za maisha bora kwa watanzania zinabomolewa kila kukicha.
 
Poleni sana wamachinga ila ni vizuri kufata sheria haikua na haja ya kuendelea kuwepo hapo kama mlishakatazwa.
 
Wadau!!

Ile ahadi ya raisi ya kufanya shughuli zao mpaka hata katikati ya mji mpaka hapo watakapotengewa maeneo yao, imeyeyuka.

Ni asubuhi ii tu, watu wameamka na kukuta mabanda yao(vitega uchumi vyao) vikiwa chini na polisi pamoja na mgambo kibao kila kona.

Poleni sana ndugu wa Makoroboi, maduka tisa sokoni na kwengineko.
Walipewa miezi mitatu ndugu na imeisha,ya kua walipaswa kuandaa mazingira huko walikopelekwa ndani ya huo muda na hawajafanya hvyo
 
Watu wa mwanza hamtakiwi kutetewa nyie kabisa kwani kura nyingi za ushindi kwa ccm zilitokea huko .........Vumilieni tu
 
Naam. Muendelee tu kukimbizwa maana hakuna jinsi. Mlidanganywa mchague CCM kisa mgombea wao ni Ngosha,sasa muambieni Ngosha awatetee.
 
Waliikata chadema!
Walidanganywa kama wale wa kariakoo!
Sasa wanaosoma namba na hapa ni mwanzo tu
 
Watanzania wengi mna pysology deseas hii n mindset inayopatikana nyanda zajuu kusin,,ke ushawahi kujiuliza kwann wabunge ukutana bungeni na si shamban kwanza bunge limetokana na neno bungen hii imetoholewa mwaka 1977 na Mkuu wa Mkoa Jaj warioba mfano uyu Paul Makonda ameonyesha nia ya dhati sana ,,,!' 1234567890 iz ni namba ila kwa kuwa Jpm ndo kasema tuzisome tunaona ngumu sana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom