Poleni Walimu wa Uraia

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,736
4,252
Hii nchi walimu wanaofundisha uraia wanakazi ngumu sana, unaweza kufundisha asubuhi majina ya viongozi mfano mkuu wa mkoa au waziri, kabla hujamaliza kipindi yule uliyemtaja sio tena waziri au mkuu wa mkoa.

Niko usingizini naota,wacha niamke nione kama hii ndoto ni kweli
 
Kweli kabisa hasa mitihani ya Midterm maswali kama haya ya wakuu wa mikoa yanatoka sana
 
Hivi bado wanawafundisha watoto wetu huo ujinga wa kukaririr majina ya watu badala ya mambo ya msingi.
 
Back
Top Bottom