Poleni vijana wa Lumumba na CCM kwa ujumla

Wekeni idadi ya kura ,jumla ya kura ,nano kapata ngapi na nani kapata ngapi zilizoharibika ,kiufupi wekeni matokeo yote hapa ,tuwambia eti mbowe kapa asilimia hizi ni upuuzi na upumbavu mkubwa kwa watu waliosoma hata la pili tu

Kuweni makini na weledi toeni matokeo

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwamba matokeo hukuyaona kweli au hukuyategemea ulipoyaona yakakupa upofu!, pole.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado unavaa pumpers maana syo kwa mh@roo
Huo

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwehu wewe kule kijijini kwenu mama yako analala humo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha bange wewe! Matokeo yote yaliwekwa hapa, uwe unasoma na kukumbuka sio kusoma na kusahau
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni aibu sana kwa nguvu mlizotumia ikiwa ni pamoja na uchawi lakini bado mmeangukia pua
 
Mbona ulinikimbia mchana? Wote mlinikimbia wewe Na yule bwanaako. Maswali yalikua ya moto??
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja Lisu arudi ammalizie kufuta ushahidi maana Mbowe hataki viherehere wa kutaka kuchukua uenyekiti wake.
Rafiki unazingua bhana! Mliniuliza kuhusu Elimu nikawajibu, nimewauliza na nyie mnagoma kunijibu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…