Poleni sana wa TZ

Poleni sana wa TZ

dums86

Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
14
Reaction score
4
Poleni sana ndugu zangu watanzania kwa kuzidi kupoteza wasanii mahiri na wenye vipaji. Lakini kazi ya mungu haina makosa yeye ndie hutoa na kutwaa natunaimani atazidi kuwazidishia na mwaka huu japokua mmeuanza kwa majonzi ya kumpoteza sajuki lakini ninaimani mtaumaliza kwa furaha.
Jina la bwana libarikiwe.
 
ivi wewe ni mkenya ee au mganda?
 
Mi mkongo ila nimeishi tanzania 4 ten yrs
 
Tena ni huzuni kweli kweli vijana wanaondoka wakiwa ndo kwanza nyota zao zinaanza kuwaka, jamani inatia machungu sana. R.I.P. wasanii wetu wote mliotangulia mbele za haki.
 
Back
Top Bottom