Ushajiuliza kwanini nchi zilizoendelea zina high life expectancy?Hata wakivunjika moyo na kupata mfadhaiko kisha wakapoteza maisha kwa kihoro yote itakuwa ni kazi ya Mungu si ndo mnavyosemaga yanini sasa mtake kuipinga mipango ya Mungu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kama una hasira mkuu?Hauna ndugu zako waliofiwa na wana huzuni?ungeanza nao hao kwanza,usi judge hisia za mtu kwa kuona post za mitandaoni hao wengi ni wasanii wasikuumize kichwa!Alikufa Steve Jobs na Apple haikutetereka itakua hao jamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwongozi gani? Kiongozi wa uongozi wa juu kafa, unadhani nani wa kumjenga mwenzie kisaikojia? Kwa ufupi watu wote wa clouds hawako sawa, labda watu wa nje ya clouds kama MCT au wataalam wa saikoloji kutoka wizara ya habari.CMG wanapitia kipindi kigumu.
Kwanza kama taasisi kuondokewa na Mkurugenzi 'kichwa' kama Ruge Mutahaba sio pigo dogo. Sote tumeshuhudia kishindo chake.
Jumlisha na kupata msiba mwingine wa Ephraim Kibonde, miongoni mwa watangazaji mahiri na mwenye ushawishi mkubwa, ikiwa ni siku chache baada ya mazishi ya Ruge. Tena sababu ikiwa ni msiba wa awali. Acha kabisa!
Kwangu naona misiba hii inawavuruga wafanyakazi ambao wengi ni vijana pale mjengoni na bado wanatakiwa kufocus ili kazi ziende.
Ukifuatilia hisia zao mitandaoni; videos, picha na hata jumbe wanazoandika unaona kabisa huzuni waliyonayo na hakika inaweza kuwaathiri sana kisaikolojia. Pengine na uoga ukawaingia.
Wapo watakaovunjika moyo na kupata mtikisiko wa kiimani pia. Wapo wanaoweza hata kukufuru au kupoteza morali kabisa. Si ajabu wengine wakaugua na kupoteza maisha kwa kihoro (God forbid).
Nashauri uongozi uangalie namna ya kitaalamu ya 'kuwatibia' hawa vijana. Wawe na therapy ya ukweli. Hii ni kwa maslahi yao binafsi na maslahi ya taasisi.
Au ndio yatapita tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Konki fireClouds itabaki juuu juuu juuu.
Everybody say yeaaaah.
Yupo Joe Kusaga. Japo naye anahitaji dozi kidogo.Uwongozi gani? Kiongozi wa uongozi wa juu kafa, unadhani nani wa kumjenga mwenzie kisaikojia? Kwa ufupi watu wote wa clouds hawako sawa, labda watu wa nje ya clouds kama MCT au wataalam wa saikoloji kutoka wizara ya habari.
Kama unavyomuona hata yeye mwenyewe hayuko sawa.
CMG wanapitia kipindi kigumu.
Kwanza kama taasisi kuondokewa na Mkurugenzi 'kichwa' kama Ruge Mutahaba sio pigo dogo. Sote tumeshuhudia kishindo chake.
Jumlisha na kupata msiba mwingine wa Ephraim Kibonde, miongoni mwa watangazaji mahiri na mwenye ushawishi mkubwa, ikiwa ni siku chache baada ya mazishi ya Ruge. Tena sababu ikiwa ni msiba wa awali. Acha kabisa!
Kwangu naona misiba hii inawavuruga wafanyakazi ambao wengi ni vijana pale mjengoni na bado wanatakiwa kufocus ili kazi ziende.
Ukifuatilia hisia zao mitandaoni; videos, picha na hata jumbe wanazoandika unaona kabisa huzuni waliyonayo na hakika inaweza kuwaathiri sana kisaikolojia. Pengine na uoga ukawaingia.
Wapo watakaovunjika moyo na kupata mtikisiko wa kiimani pia. Wapo wanaoweza hata kukufuru au kupoteza morali kabisa. Si ajabu wengine wakaugua na kupoteza maisha kwa kihoro (God forbid).
Nashauri uongozi uangalie namna ya kitaalamu ya 'kuwatibia' hawa vijana. Wawe na therapy ya ukweli. Hii ni kwa maslahi yao binafsi na maslahi ya taasisi.
Au ndio yatapita tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
CMG wanapitia kipindi kigumu.
Kwanza kama taasisi kuondokewa na Mkurugenzi 'kichwa' kama Ruge Mutahaba sio pigo dogo. Sote tumeshuhudia kishindo chake.
Jumlisha na kupata msiba mwingine wa Ephraim Kibonde, miongoni mwa watangazaji mahiri na mwenye ushawishi mkubwa, ikiwa ni siku chache baada ya mazishi ya Ruge. Tena sababu ikiwa ni msiba wa awali. Acha kabisa!
Kwangu naona misiba hii inawavuruga wafanyakazi ambao wengi ni vijana pale mjengoni na bado wanatakiwa kufocus ili kazi ziende.
Ukifuatilia hisia zao mitandaoni; videos, picha na hata jumbe wanazoandika unaona kabisa huzuni waliyonayo na hakika inaweza kuwaathiri sana kisaikolojia. Pengine na uoga ukawaingia.
Wapo watakaovunjika moyo na kupata mtikisiko wa kiimani pia. Wapo wanaoweza hata kukufuru au kupoteza morali kabisa. Si ajabu wengine wakaugua na kupoteza maisha kwa kihoro (God forbid).
Nashauri uongozi uangalie namna ya kitaalamu ya 'kuwatibia' hawa vijana. Wawe na therapy ya ukweli. Hii ni kwa maslahi yao binafsi na maslahi ya taasisi.
Au ndio yatapita tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hauna ndugu zako waliofiwa na wana huzuni?ungeanza nao hao kwanza,usi judge hisia za mtu kwa kuona post za mitandaoni hao wengi ni wasanii wasikuumize kichwa!Alikufa Steve Jobs na Apple haikutetereka itakua hao jamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Toa kwanza msaada wa kisaikolojia kwa ndugu zako na familia yako hasa hsa ndugu zako kabisa wa familia na uko wako acha umbea na kujipendekeza kwa aina hii yaani wewe unataka kutwambia kwamba unawathamini na kuwapenda zaidi wafanyakazi wa clouds kuliko ndugu zako wa damu na uko. acheni unafiki na kujipendekeza watanzania pUshajiuliza kwanini nchi zilizoendelea zina high life expectancy?
Miongoni mwa sababu ni kutochukulia poa suala la afya..
Sent using Jamii Forums mobile app