Kwa haraka haraka ukiangakia kwa umakini utagundua Mbowe ndiye anaongoza nchi kupitia Chadema na ccm inatawala tu.Mleta mada hongera kwa kuyaona hayo kwa jicho la rohoni! Watahangaika Mbowe lakini hawataweza! Wanamjua kuwa ni mtu smart na mwenye uoni wa mbali na ushawishi wa hali ya juu na ni shupafu. Ccm inaamini ikimwangusha basi cdm itakufa kinccr na kiudp au kitlp na kusambaratika kicuf! Hizo ni ndoto kwani csm ina hazina ya watu walioandaliwa kuongoza pindi wakihitajika na wapo smart sana!
Ushauri kwa ccm, hebu hangaikeni na umaskini mlioutengeneza kwa miaka 31 kwa lengo la kutawala kirahisi! Mbowe yupo na ataendelea kusimama imara muda wote kwani hata huko ccm mnamuadmire sana!
Go Mbowe, you have my support!
Serikali ya ccm.inacheza sarakasi za chadema miaka yote.
Uongozi wa Mbowe ndani ya Chama ni wa mfano sana. Natamani sana Mboww angekuwa rais wa JMT