Vp! Waliomuamini Yesu hawaumwi?Mwambieni Yesu aweza, anasema "Njooni kwangu nyinyi msumbukao na mizigo nami nitawapumzisha"
Amezidi kulialia! Kwani ni yeye anayeumwa tu nchi hii?
Vp! Waliomuamini Yesu hawaumwi?
Acha unafiki wengine tuna mitihani lukuki ila tunabanana nayo bila kutafuta fedha kwa nguvu.Omba yasikukute huyu binti ana mtihani mgumu mno fuatilia trend yake ya matatizo utaona ulichopost sio sahihi kakatwa mguu wakiwa ktk harakat za kufunga ndoa kampoteza jamaa aliekubali kuishi nae ktk hayo mapungufu yake mshukur Mungu waishi salama.
Kwani yule mbunge naye c alikubali kuishi naye mkuuOmba yasikukute huyu binti ana mtihani mgumu mno fuatilia trend yake ya matatizo utaona ulichopost sio sahihi kakatwa mguu wakiwa ktk harakat za kufunga ndoa kampoteza jamaa aliekubali kuishi nae ktk hayo mapungufu yake mshukur Mungu waishi salama.
Acha unafiki wengine tuna mitihani lukuki ila tunabanana nayo bila kutafuta fedha kwa nguvu.
Kwani yule mbunge naye c alikubali kuishi naye mkuu
Ulemavu sio mwisho wa life
Kuna unafiki wa kutetea akinamama hata hapa JF utaona mtoto wa Kike akikohoa basi like zinakuwa gunia. Hivi yeye wastara asaidiwe mara ngapi? Hapo ni kutumia ugonjwa kupiga hela. Kukatwa mguu ni Bahati mbaya na likitokea unajikubali maisha yanasonga. Uache unafiki ati ahurumiweNaona unashindwa kutumia neno mahala pake la unafiki au hujui maana yake
wastara hajaficha matatizo yake kayaweka wazi asaidiwe hajalazimisha kusaidiwa kama ya kwako umeyaficha ni vizur sana
je kuna mahali kaomba msaada kwa nguvu? kutoa ni moyo kama yako unakabiliana nayo ni wewe na yeye sio wewe
Kuna unafiki wa kutetea akinamama hata hapa JF utaona mtoto wa Kike akikohoa basi like zinakuwa gunia. Hivi yeye wastara asaidiwe mara ngapi? Hapo ni kutumia ugonjwa kupiga hela. Kukatwa mguu ni Bahati mbaya na likitokea unajikubali maisha yanasonga. Uache unafiki ati ahurumiwe
Bwanaeee wanaohonga mahammer watamsaidia ila yeye sio mgonjwa pekee Tanzania.mzee acha wivu wa kijinga kuna ubaya kutetea mtu? unataka kila mmoja aishi life style yako? kama anapiga hela tatizo lako ni nini? unaumia nini wakat hutoi hela wewe? kuna watu wanahonga hadi ma hammer wanawake na hawapigi mzigo unafikir wote wana roho za kikatili na kukunja kama wewe et kwa kuwa una matatizo umepiga kimya unataka neo wastara afuate akili yako wewe wa wap?
Bwanaeee wanaohonga mahammer watamsaidia ila yeye sio mgonjwa pekee Tanzania.
Soma komenti za wadau utajiona ulivyo mnafikimzee acha wivu wa kijinga kuna ubaya kutetea mtu? unataka kila mmoja aishi life style yako? kama anapiga hela tatizo lako ni nini? unaumia nini wakat hutoi hela wewe? kuna watu wanahonga hadi ma hammer wanawake na hawapigi mzigo unafikir wote wana roho za kikatili na kukunja kama wewe et kwa kuwa una matatizo umepiga kimya unataka neo wastara afuate akili yako wewe wa wap?