Pole Wastara Mungu atakuondoshea lililokuwa zito kwako Insha'Allah

Nahisi kuna jambo linawatesa hawa kapata ajali jamaa kamuoa hivyo hivyo akiwa kakatwa mguu jamaa kafariki bado mitihani inaendelea Mungu amsimamie.
 
Amezidi kulialia! Kwani ni yeye anayeumwa tu nchi hii?

Omba yasikukute huyu binti ana mtihani mgumu mno fuatilia trend yake ya matatizo utaona ulichopost sio sahihi kakatwa mguu wakiwa ktk harakat za kufunga ndoa kampoteza jamaa aliekubali kuishi nae ktk hayo mapungufu yake mshukur Mungu waishi salama.
 
Acha unafiki wengine tuna mitihani lukuki ila tunabanana nayo bila kutafuta fedha kwa nguvu.
 
Kwani yule mbunge naye c alikubali kuishi naye mkuu
Ulemavu sio mwisho wa life
 
Naona unashindwa kutumia neno mahala pake la unafiki au hujui maana yake

wastara hajaficha matatizo yake kayaweka wazi asaidiwe hajalazimisha kusaidiwa kama ya kwako umeyaficha ni vizur sana

je kuna mahali kaomba msaada kwa nguvu? kutoa ni moyo kama yako unakabiliana nayo ni wewe na yeye sio wewe
 
Bado ni mitihani aliyonayo kwa jinsi alivyoeleza yy hamna msaada aliokuwa akiupata pesa ya mwanamke itumike kwa wote hata alizosaidiwa kuendelea kuangaliwa kwa ajili ya mguu wake na jamaa hakukanusha hilo.
 
mbona machine ina cables nyingi kama za networking?.....any get well soon japo najua yule bi mdada anayeishi kwa tRuMp akiona lazima atanene kwa lugha.......
 
Huyu dada leo ataomba mumuombee, kesho akipata nafuu kidogo anapost video akikata mauno huko instagram.

Sio mtu wa kuaminika!
 
Naona unashindwa kutumia neno mahala pake la unafiki au hujui maana yake

wastara hajaficha matatizo yake kayaweka wazi asaidiwe hajalazimisha kusaidiwa kama ya kwako umeyaficha ni vizur sana

je kuna mahali kaomba msaada kwa nguvu? kutoa ni moyo kama yako unakabiliana nayo ni wewe na yeye sio wewe
Kuna unafiki wa kutetea akinamama hata hapa JF utaona mtoto wa Kike akikohoa basi like zinakuwa gunia. Hivi yeye wastara asaidiwe mara ngapi? Hapo ni kutumia ugonjwa kupiga hela. Kukatwa mguu ni Bahati mbaya na likitokea unajikubali maisha yanasonga. Uache unafiki ati ahurumiwe
 
mzee acha wivu wa kijinga kuna ubaya kutetea mtu? unataka kila mmoja aishi life style yako? kama anapiga hela tatizo lako ni nini? unaumia nini wakat hutoi hela wewe? kuna watu wanahonga hadi ma hammer wanawake na hawapigi mzigo unafikir wote wana roho za kikatili na kukunja kama wewe et kwa kuwa una matatizo umepiga kimya unataka neo wastara afuate akili yako wewe wa wap?
 
Bwanaeee wanaohonga mahammer watamsaidia ila yeye sio mgonjwa pekee Tanzania.
 
mzee acha wivu wa kijinga kuna ubaya kutetea mtu? unataka kila mmoja aishi life style yako? kama anapiga hela tatizo lako ni nini? unaumia nini wakat hutoi hela wewe? kuna watu wanahonga hadi ma hammer wanawake na hawapigi mzigo unafikir wote wana roho za kikatili na kukunja kama wewe et kwa kuwa una matatizo umepiga kimya unataka neo wastara afuate akili yako wewe wa wap?
Soma komenti za wadau utajiona ulivyo mnafiki
 
Back
Top Bottom