Shukrani A. Ngonyani
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 1,179
- 2,004
Itajengwa hata kwa jasho la damu .Hivi Lile swala la kuanzisha hospital mpya ya akina mama Na watoto ambayo chimbuko lake ni wazo zuri la Mheshimiwa Lema limeishia wapi? Hiyo hospital tunaihitaji sana jamani, kwanini wanamvuruga Ili ashindwe kufanya mambo yenye kuleta tija kwetu sisi wananchi! Yaani ......
Daima hakuna mtawala yeyote duniani hupendezwa kuambiwa maneno yasiyompendeza na kumfurahisha.
Watawala wana tabia zinazofanana nayo ni kupenda kuogopwa na kuambiwa yanayowapendeza tu, na huamini zaidi yale wanayoambiwa na wapambe wao hata kama si sahihi, kwa vile tu wapambe wao huwatia moyo kuwa "mambo yako sawa tu".
Najua una huzuni, hasira na fikra mpya kila wakati, "wewe ni mchochezi", ndio nami nakubali kuwa wewe ni mchochezi, unachochea ktk kuleta fikra mpya za umuhimu wa kuwa na KIONGOZI na sio MTAWALA.
Pole sana ndugu! kazi ya siasa na ukombozi inahitaji gharama ya moyo na nafsi za watu. hongera kwa kujichagua.
he is a MANKuna siku tutamkumbuka Lema,leo wengi wetu tunamuona kama kichaa asiyejua akifanyacho,lakini naona polisi,mkuu wa mkoa na mahakama wanacheza singeli ya Lema
he is a MAN
Acha kuchafua jina la paulo wewe. Huwezi kumfananisha na huyuinasikitisha na kusononesha saana moyo. pole hata Paulo na sira walitupwa gerezani lakini waliendele kuamini katika Yale waliyo yanena mwishoe walikuwa huru jipe moyo sheria za wanadamu hazina nafasi katika hukumu ya mungu wahukumuo kwa haki watapimiwa mizani sawasawa na hukumu zao.
ALISHASEMA DHAMBI KUBWA NI UOGA. SIDHANI KAMA ANAJUTA KATU. ANAAMINI ANACHOKIFANYA NI SAHIHI NA KWELI YUKO SAHIHI. 50 MILLION TANZANIANS ARE AFRAID OF TELLING THE KING THAT HE IS NUDE! HE HAS DARED TO!Daima hakuna mtawala yeyote duniani hupendezwa kuambiwa maneno yasiyompendeza na kumfurahisha.
Watawala wana tabia zinazofanana nayo ni kupenda kuogopwa na kuambiwa yanayowapendeza tu, na huamini zaidi yale wanayoambiwa na wapambe wao hata kama si sahihi, kwa vile tu wapambe wao huwatia moyo kuwa "mambo yako sawa tu".
Najua una huzuni, hasira na fikra mpya kila wakati, "wewe ni mchochezi", ndio nami nakubali kuwa wewe ni mchochezi, unachochea ktk kuleta fikra mpya za umuhimu wa kuwa na KIONGOZI na sio MTAWALA.
Pole sana ndugu! kazi ya siasa na ukombozi inahitaji gharama ya moyo na nafsi za watu. hongera kwa kujichagua.
Daima hakuna mtawala yeyote duniani hupendezwa kuambiwa maneno yasiyompendeza na kumfurahisha.
Watawala wana tabia zinazofanana nayo ni kupenda kuogopwa na kuambiwa yanayowapendeza tu, na huamini zaidi yale wanayoambiwa na wapambe wao hata kama si sahihi, kwa vile tu wapambe wao huwatia moyo kuwa "mambo yako sawa tu".
Najua una huzuni, hasira na fikra mpya kila wakati, "wewe ni mchochezi", ndio nami nakubali kuwa wewe ni mchochezi, unachochea ktk kuleta fikra mpya za umuhimu wa kuwa na KIONGOZI na sio MTAWALA.
Pole sana ndugu! kazi ya siasa na ukombozi inahitaji gharama ya moyo na nafsi za watu. hongera kwa kujichagua.
Kama ushujaa ni kuwatabiria vifo wale wanaotenda usiyoyataka ndio ushujaa.Daima hakuna mtawala yeyote duniani hupendezwa kuambiwa maneno yasiyompendeza na kumfurahisha.
Watawala wana tabia zinazofanana nayo ni kupenda kuogopwa na kuambiwa yanayowapendeza tu, na huamini zaidi yale wanayoambiwa na wapambe wao hata kama si sahihi, kwa vile tu wapambe wao huwatia moyo kuwa "mambo yako sawa tu".
Najua una huzuni, hasira na fikra mpya kila wakati, "wewe ni mchochezi", ndio nami nakubali kuwa wewe ni mchochezi, unachochea ktk kuleta fikra mpya za umuhimu wa kuwa na KIONGOZI na sio MTAWALA.
Pole sana ndugu! kazi ya siasa na ukombozi inahitaji gharama ya moyo na nafsi za watu. hongera kwa kujichagua.
kwani kosa lake unalijua? kesi iliyompeleja pale unaijua? kama unaijua nitajie?Kama ushujaa ni kuwatabiria vifo wale wanaotenda usiyoyataka ndio ushujaa.
Sidhani kama jamii ikijengwa ktk mfumo huo inaweza kuimarika.
Watu kama ninyi ndio mnamfanya asijutie matendo yake mabaya.
Usiwafananishe paulo na sila na wanasiasa.inasikitisha na kusononesha saana moyo. pole hata Paulo na sira walitupwa gerezani lakini waliendele kuamini katika Yale waliyo yanena mwishoe walikuwa huru jipe moyo sheria za wanadamu hazina nafasi katika hukumu ya mungu wahukumuo kwa haki watapimiwa mizani sawasawa na hukumu zao.