Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,092
- 285,750
- Thread starter
-
- #61
Subiri atakapotekwa mama yako wiki ijayoWewe kigagula acha uongo
Huna chembe ya ushahidi, unalazimisha tu ukiulizwa, unarukaruka na maneno yasiyoeleweka , kuna watu wangapi humu wanauliza huyo ni nani na anafanya shughuli gani mpaka yamkute haya ?
Huna jibu
Huyu muosha mavi anafikiri kuropoka JF ndio kinga.Anadhani kuwa na kijiofisi Malawi ndio kinga ya uchochezi.Wewe kigagula acha uongo
Huna chembe ya ushahidi, unalazimisha tu ukiulizwa, unarukaruka na maneno yasiyoeleweka , kuna watu wangapi humu wanauliza huyo ni nani na anafanya shughuli gani mpaka yamkute haya ?
Huna jibu
Mkuu sasa hapa uchochezi Wangu ni Upi?Huyu muosha mavi anafikiri kuropoka JF ndio kinga.Anadhani kuwa na kijiofisi Malawi ndio kinga ya uchochezi.
Tz inapoelekea ni hatariIla kuna watu wanamionekano ya ki binadamu ila ni devils. Kumkata binadam kichwa inahitaji ukatil wa hali ya juu sana
Ni km wale wa oct 29 , inahitaji ukatili sana .most of these kids wanakuaga ni ama walitelekezwa udogoni au hawajakulia kwenye malezi ya proper family
I feel sorry for them , I feel sorry for Samia too maana the universe is balanced
Aende kwenye madeal ya wauwaji sasa na huyo ndugu yake kwishaaaa. Kwa taarifa hata yule mpayukaji kihongosi atafikiwa tu ni swala la muda.Kwahiyo ilibidi akatae kazi .?
Issue ya binamu yake kuuliwa Haina uhusiano na kazi zake binafsi .
Hauwezi ukawa msanii uka turn down deal kisa siasa uchwara.
Yaani unajitekenya halafu unacheka mwenyewe😎....ila Nina ofisi kubwa Johannesburg, Ottawa,n.a. USA, Marryland
Hutaki unaachaYaani unajitekenya halafu unacheka mwenyewe😎
Mbona tayari ishakuwa hatari!Tz inapoelekea ni hatari
Kama serikali ikiwaacha tu
Bila kuwatia nguvuni mambo yatazidi kuwa mabaya!
Mitaani wamejaa ma serial killer wengi tu na hawakamatwi
Ova
Mkuu habari za sikuHivi inakuwaje mpaka mtu unamchinja mtu?? Lazima uwe katili sana 😢
Njema mkuu, zako je?Mkuu habari za siku
Nzuri, bado tunakwepa mishaleNjema mkuu, zako je?
Temba kuitwa MHESHIMIWA Iko hivi ..... Kipindi wapo kundi moja la MANDULI MOBB ( TEMBA, DAZ BABA na DAZ P) DAZ P alitoa magoma makali kama Sister du / Kama unataka kuja home. ... ..Sasa wakati wanataka kutoa goma la kundi lao MASKINI JEURI .... Temba alikuwa jeshini na alikuwa anachezea kikapu timu ya JKT ..... Waliporekodi ndio yaleyale ya HBC hard blasters na NIGGA J ..... Temba akapita nayo vibaya sana jamaa anasema ikabidi wamuachie Ngoma nzima aifanye yeye na kiroboto (Sir Nature).... Ilipopelekwa radioni .... Dj Anamuuliza DAZ P huyu mwanamuziki anaitwa nani .... Ndio DAZ P kujibu aaah huyo anaitwa TEMBA ni MHESHIMIWA MWANAJESHI .... Ndio a.k.a MHESHIMIWA TEMBA (Mh. Temba ) KUZALIWA .....
Why?100%
Wakati tunaandika kuhusu kutekwa Watu awamu ya 5, Polepole alitukejeli Kama wewe, sasa subiri atekwe Mama yakoKwanza jina la Temba inaweza kuwa uyo ni Mchaga!!!
Lkn mleta mada ni muongo mchonganishi
Uwezi kusema Serikali imeusika kwenye tukio ambalo Sababu wewe mwenyewe uijui !!!
zaidi unalakamika kila ntu litamfika
litakufika sababu niwewe mwenyewe umeamua likufike kwa kuisakama Serikali kwa uwongo✍️
Sio Tanzania tu popote nenda ipo ivyo Serikali jukumu lake kubwa kuwaudumia wananchi wake!!!
TEMBA mwimbaji kuipigia kampeni CCM ndio kosa!!
mbona wanasanii wengine wapo vizuri ¿¿¿
1]
Swali kama tatizo ni kusaidia kampeni ya CCM mbona TEMBA muhusika hakutekwa!!!
2)
Watu wanauliza uyo Temba anausika nanini kiasi iyo Serikali imteka???
mwanasiasa ?
mwana jamii forum anatumia jina lipi??
Kama majibu huna
kwann icho kifo kibebeshwa Serikali
Vip kama ni wivu
wanawake
Wangapi wanauwawa kisa wivu wa mapenzi!!!
vip kama kuna zuluma kubwa ya pesa wenyewe kwa wenyewe!!
Ukisema tu ni Serikali lazima tujue uyo mtu kwann Serikali wahusike kafanya nn kibaya kwao???
Serikali inatumia Mabilioni mengi kwenye Afya za raia wake!!!
Raia kauwawa kwasababu uzijui unadai Serikali!
Mfano ndugu Polepole katekwa japo kila mtu anaweza sema ni Serikali sababu zipo wazi!!!
Sasa uyo Temba nayeye kafanyaje kwa Serikali???
Kwani wewe ametekwa mama yako?Wewe msafisha mavi ya wazungu una majungu sana.Utapatikana tu uthibitishe hizo tuhuma na kuleta ushahidi.Wakati tunaandika kuhusu kutekwa Watu awamu ya 5, Polepole alitukejeli Kama wewe, sasa subiri atekwe Mama yako
Wameshamsahau comrade wao aliyewatumikia kama Katibu Mwenezi.CHADEMA ndio chama pekee kilichotolea tamko Polepole alipotekwa , CCM hawajathubutu hata mmoja kuongea chochote.
CCM ni hatari kama kansa, ndio maana Kikwete alisema hawaachiani maji mezani.Wameshamsahau comrade wao aliyewatumikia kama Katibu Mwenezi.
Kweli kina Masika ina Mbu wake.