Pole sana Mh Temba, Shetani hana Rafiki

Kawaida shetwaaini hana rafiki wala urafiki hivyo akili kumkichwa na kumkaribisha shetani kama chichi em ni kuukaribosha mwisho wako kabla ya wakati!
 
Kwahiyo ilibidi akatae kazi .?

Issue ya binamu yake kuuliwa Haina uhusiano na kazi zake binafsi .

Hauwezi ukawa msanii uka turn down deal kisa siasa uchwara.
No, this is where you get it wrong. Kuwa mwanaCCM, sio shida kabisa, au kuwa Polisi, tatizo ni kutotumia ile Public Figure kukemea maovu yanapotokea.

Hawa wanaCCM mashabiki wao personally wala hawana shida, ila kuna few elements ambazo ni rogue na zinapata kiburi pale zisipokemewa. Hivu unadhani siku UVCCM, UWT au WAZAZI wakaamua kupigana dhidi ya huu utekaji, unadhani utaendelea?
 
Kama wamentka slow slow na hakuna uchunguz wowote?
Who the *** is Temba?
 
Ivi issue ya uyo mtu aliepatwa bila kichwa je kwanini kuinyoshea mkono serikali ? Jr uyo mtu alikua na tishio gani kwa watawala maana binafsi ndo nimepata kumuona leo. Uenda kukawa na mambo mengine sio kila mauaji lawama ikabebeshwa serikali wazee
 
Ivi issue ya uyo mtu aliepatwa bila kichwa je kwanini kuinyoshea mkono serikali ? Jr uyo mtu alikua na tishio gani kwa watawala maana binafsi ndo nimepata kumuona leo. Uenda kukawa na mambo mengine sio kila mauaji lawama ikabebeshwa serikali wazee
Serikali ikianza kuteka watu na kuwaua,mabaya yote itasingiziwa,,,so ata kikundi chochote kikianza kuteka na kuua wananchi wataisingizia serikali
 
Hivi huyu anaitwa Mheshimiwa
Mheshimiwa Temba kwa sababu gani
Mtu anieleweshe hii Mheshimiwa ki vp 🤔
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…