Pole sana Messi

Kwani Messi anacheza Rugby ?
always shabiki wa mpira kwenye ukweli anaongea ukweli kwenye ushabiki anaweka ushabiki

Messi kaifunga Argentina goli tatu then what next??

kimataifa ana nini baada ya hiyo hat-trick?
 
Mkuu mara ngapi nimekwambia ukiandika uwe unatulia na kufikirisha ufahamu

Sasa ni lini Messi aliifunga Argentina ?

Hebu tuanzie hapo
 
endelea kujitoa ufahamu computer inakosea ntakuwa mimi ninae andika kwa mikono(kaifungia)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom