Pole sana Messi

I

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Messages
2,690
Likes
1,436
Points
280
I

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2014
2,690 1,436 280
Mtake radhi
 
nkuwi

nkuwi

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2013
Messages
3,258
Likes
2,777
Points
280
nkuwi

nkuwi

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2013
3,258 2,777 280
tehe tehe tehe kuna msukule haujauona huu uzi!

cc PNC 1
Wakati watu wanabusu makombe yeye anabusu kopo la maji la 500/=
 
PNC

PNC

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Messages
7,722
Likes
11,458
Points
280
PNC

PNC

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2015
7,722 11,458 280
Mtoa uzi ni wakusikitikiwa
Unawezaje mpa pole Messi wakat katika hao wachezaji wote yeye ndiye kaongoza kwa kuitetea nchi yake

Nafikiri unalolijua ni la Messi kuifikisha Argentina Copa America mara 2 na World cup mara 1

Kwa niaba wanaomchukulia King Messi juujuu ni hivi

Messi Kaifikisha Argentina Final ya Copa America mara 3

Kaifikisha Argentina Final world cup

Kaipa ubingwa wa Fifa world cup u23

Kaipa ubingwa wa Copa America u20

Kaipa ubingwa wa Olympic

MESSI SI MTU WA MCHEZO MCHEZO
 
BlackPanther

BlackPanther

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2015
Messages
6,213
Likes
4,960
Points
280
BlackPanther

BlackPanther

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2015
6,213 4,960 280
The Argentinian maestro'he is player from another dimension. Messi never fails to surprise u......

Without doubt life is easier with Messi. We are used to seeing him do everything possible. You see it every weekend, but we see it every day.......

He plays every game with the same hunger and ambition........

Look how he also ran in defence.......

1308765_full-lnd-jpg.445269

Lionel Andrés "Leo" Messi (Spanish pronunciation: [ljoˈnel anˈdɾes ˈmesi]; born 24 June 1987) is an Argentine professionalfootballer who plays as a forward for Spanish club FC Barcelona and captains the Argentina national team. Often considered the best player in the world and rated by many in the sport as the greatest of all time, Messi is the only football player in history to win five FIFA Ballons d'Or, four of which he won consecutively, and the first player to win threeEuropean Golden Shoes.[note 2] With Barcelona he has won eight La Liga titles and four UEFA Champions League titles, as well as fourCopas del Rey. Both a prolific goalscorer and a creative playmaker, Messi holds the records for most goals scored in La Liga, a La Liga season (50), and a football season (82), as well as those for most assists made in La Liga and the Copa América. He has scored over 500 senior career goals for club and country.

Born and raised in central Argentina, Messi was diagnosed with a growth hormone deficiency as a child. At age 13, he relocated to Spain to join Barcelona, who agreed to pay for his medical treatment. After a fast progression through Barcelona's youth academy, Messi made his competitive debut aged 17 in October 2004. Despite being injury-prone during his early career, he established himself as an integral player for the club within the next three years, finishing 2007 as a finalist for both the Ballon d'Or and FIFA World Player of the Year award, a feat he repeated the following year. His first uninterrupted campaign came in the 2008–09 season, during which he helped Barcelona achieve the first treble in Spanish football. At 22 years old, Messi won the Ballon d'Or and FIFA World Player of the Year award by record voting margins.

Three successful seasons followed, with Messi winning three consecutive FIFA Ballons d'Or, including an unprecedented fourth. His personal best campaign to date was the 2011–12 season, in which he set the La Liga and European records for most goals scored in a single season, while establishing himself as Barcelona's all-time top scorer in official competitions in March 2012. He again struggled with injury during the following two seasons, twice finishing second for the Ballon d'Or behind Cristiano Ronaldo, his perceivedcareer rival. Messi regained his best form during the 2014–15 campaign, breaking the all-time goalscoring records in both La Liga and the Champions League in November 2014,[note 3] and led Barcelona to a historic second treble.

An Argentine international, Messi is his country's all-time leading goalscorer. At youth level, he won the 2005 FIFA World Youth Championship, finishing the tournament with both the Golden Ball and Golden Shoe, and anOlympic gold medal at the 2008 Summer Olympics. His style of play as a diminutive, left-footed dribbler drew comparisons with compatriot Diego Maradona, who declared the teenager his successor. After making his senior debut in August 2005, Messi became the youngest Argentine to play and score in aFIFA World Cup during the 2006 edition, and reached the final of the 2007 Copa América, where he was named young player of the tournament. As the squad's captain from August 2011, he led Argentina to three consecutive finals of the 2014 World Cup, for which he won the Golden Ball, and the 2015and 2016 Copas América. He was then convicted of tax fraud committed from 2007 to 2009, for which he received a fine and a suspended prison sentence.
 
supermarket

supermarket

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2016
Messages
7,149
Likes
9,983
Points
280
Age
32
supermarket

supermarket

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2016
7,149 9,983 280
Mtoa uzi ni wakusikitikiwa
Unawezaje mpa pole Messi wakat katika hao wachezaji wote yeye ndiye kaongoza kwa kuitetea nchi yake

Nafikiri unalolijua ni la Messi kuifikisha Argentina Copa America mara 2 na World cup mara 1

Kwa niaba wanaomchukulia King Messi juujuu ni hivi

Messi Kaifikisha Argentina Final ya Copa America mara 3

Kaifikisha Argentina Final world cup

Kaipa ubingwa wa Fifa world cup u23

Kaipa ubingwa wa Copa America u20

Kaipa ubingwa wa Olympic

MESSI SI MTU WA MCHEZO MCHEZO

Kaifikisha fainali
-copa america vs chile 2015/2016
-word cup vs germany 2014
**sifa nzuri ingekuwa kailchukua kabisa kombe sio tu kusema kaifikisha fainali
Eg. C.Ronaldo kalichukua kabisa kombe la Euro 2016 amelishika kombe mkononi
 
Snipes

Snipes

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2013
Messages
7,945
Likes
13,916
Points
280
Age
25
Snipes

Snipes

JF-Expert Member
Joined Jul 2, 2013
7,945 13,916 280

kuna tofauti kubwa kati ya senior (sr) na junior (jr) sawa ndugu, Messi tumemjua huku kene senior timu na sio junior timu mafanikio akiwa u23, u21 au u18 hata Andre Dede Ayew wa Ghana anayo
 
toxic9

toxic9

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
10,255
Likes
14,755
Points
280
toxic9

toxic9

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
10,255 14,755 280
Mtoa uzi ni wakusikitikiwa
Unawezaje mpa pole Messi wakat katika hao wachezaji wote yeye ndiye kaongoza kwa kuitetea nchi yake

Nafikiri unalolijua ni la Messi kuifikisha Argentina Copa America mara 2 na World cup mara 1

Kwa niaba wanaomchukulia King Messi juujuu ni hivi

Messi Kaifikisha Argentina Final ya Copa America mara 3

Kaifikisha Argentina Final world cup

Kaipa ubingwa wa Fifa world cup u23

Kaipa ubingwa wa Copa America u20

Kaipa ubingwa wa Olympic

MESSI SI MTU WA MCHEZO MCHEZO
Umepanaki.... Acha jazba....unajifanya mtu wa takwimu... Umeelewa picha ina maana gani unajibu usiloulizwa
 
Snipes

Snipes

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2013
Messages
7,945
Likes
13,916
Points
280
Age
25
Snipes

Snipes

JF-Expert Member
Joined Jul 2, 2013
7,945 13,916 280
Mtoa uzi ni wakusikitikiwa
Unawezaje mpa pole Messi wakat katika hao wachezaji wote yeye ndiye kaongoza kwa kuitetea nchi yake

Nafikiri unalolijua ni la Messi kuifikisha Argentina Copa America mara 2 na World cup mara 1

Kwa niaba wanaomchukulia King Messi juujuu ni hivi

Messi Kaifikisha Argentina Final ya Copa America mara 3

Kaifikisha Argentina Final world cup

Kaipa ubingwa wa Fifa world cup u23

Kaipa ubingwa wa Copa America u20

Kaipa ubingwa wa Olympic

MESSI SI MTU WA MCHEZO MCHEZO
Messi kaitetea Argentina kwenye mashindano gani ya kimataifa ukiachana na timu za u23?
 
nkuwi

nkuwi

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2013
Messages
3,258
Likes
2,777
Points
280
nkuwi

nkuwi

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2013
3,258 2,777 280
Freedom of speech

King Messi anatisha kuliko njaa
Huoni unavyomwaga povu
tehe tehe tehe hili povu ndio nilikuwa nalisubiri!

hatuzungumzii junior teams hapa, tunazungumzia mafanikio ki-internationally zaidi!

andunje amezidiwa hadi na alexis sanchez wa arsenal
 
PingIdea

PingIdea

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2015
Messages
364
Likes
154
Points
60
PingIdea

PingIdea

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2015
364 154 60
Ukikuta MTU anaongelewa saana ujue ni wakipekee

Ukikuta familia inakulalamikia wewe chakula kikukosekana ujue wewe ni wapekee bila wewe wakuna familia tena

Bila kumzungumzia Messi hakuna mpira tena kwa dunia iliyopita ya sasa na dunia ijayo

Kwenye soka Messi ni kama Jua kwenye Solar system

Messi ni wakipekee

Huwa natamani wakati mwingne aache kuchexa mpira coz sioni kama anaocheza nao wapo kwenye kiwango chake

Huwa natamani ningekuwa na mamlaka kisoka jina Messi lipewe umungu ili situmike vibaya kwa mfano fulani anafanana na Messi liwe ni kosa lajinai na afungwe kifungo cha maisha

Messi alishushwa kuja kulikomboa soka kwenye ngazi zote kijamii kitamaduni kiuchumi nk

Uwepo wake duniani kumewanufaisha watu wa kila rika

Viva Messi
 
bhachu

bhachu

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Messages
5,050
Likes
4,319
Points
280
Age
31
bhachu

bhachu

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2015
5,050 4,319 280

Kaifikisha fainali
-copa america vs chile 2015/2016
-word cup vs germany 2014
**sifa nzuri ingekuwa kailchukua kabisa kombe sio tu kusema kaifikisha fainali
Eg. C.Ronaldo kalichukua kabisa kombe la Euro 2016 amelishika kombe mkononi
CR7 anapewa sifa akati hata fainali ni kama hakucheza kabisa, na kuua soo akaamua ajifanye kocha benchi
 
nkuwi

nkuwi

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2013
Messages
3,258
Likes
2,777
Points
280
nkuwi

nkuwi

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2013
3,258 2,777 280
weka kombe mezani PNC 1 acha kutokwa mapovu as if umemeza uyoga wenye sumu!

cr7 Uefa euro 2016!

sanchez copa america 2016!

messi................

ameifikisha ameifikisha ameifikisha ameifikisha ameifikisha ameifikisha ameifikisha ameifikisha! nini????,
 
bhachu

bhachu

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Messages
5,050
Likes
4,319
Points
280
Age
31
bhachu

bhachu

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2015
5,050 4,319 280
Kazi wafanye wanaume alafu sifa apewe mvulana, shwaini kabisa
 
MO11

MO11

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Messages
16,768
Likes
21,900
Points
280
MO11

MO11

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2014
16,768 21,900 280
kombe la dunia kachukua victor valdes na kudaka hajui
 
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Messages
13,535
Likes
10,542
Points
280
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2012
13,535 10,542 280
tehe tehe tehe kuna msukule haujauona huu uzi!

cc PNC 1
Wakati watu wanabusu makombe yeye anabusu kopo la maji la 500/=
Next time atakubusu wewe, ndio kitu hajafanya bado

nkuwi

nkuwi

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2013
Messages
3,258
Likes
2,777
Points
280
nkuwi

nkuwi

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2013
3,258 2,777 280
Ukikuta MTU anaongelewa saana ujue ni wakipekee

Ukikuta familia inakulalamikia wewe chakula kikukosekana ujue wewe ni wapekee bila wewe wakuna familia tena

Bila kumzungumzia Messi hakuna mpira tena kwa dunia iliyopita ya sasa na dunia ijayo

Kwenye soka Messi ni kama Jua kwenye Solar system

Messi ni wakipekee

Huwa natamani wakati mwingne aache kuchexa mpira coz sioni kama anaocheza nao wapo kwenye kiwango chake

Huwa natamani ningekuwa na mamlaka kisoka jina Messi lipewe umungu ili situmike vibaya kwa mfano fulani anafanana na Messi liwe ni kosa lajinai na afungwe kifungo cha maisha

Messi alishushwa kuja kulikomboa soka kwenye ngazi zote kijamii kitamaduni kiuchumi nk

Uwepo wake duniani kumewanufaisha watu wa kila rika

Viva Messi
Haya mawazo mfu alikuwa nayo pia PEP GURDIOLA kabla hajahamia EPL,

Muulizee sasa hivi ndio atakwambia hali halisi!

acheni maneno mingi, wekeni internation trophy ya messi hapa tuione basi???
 
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Messages
13,535
Likes
10,542
Points
280
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2012
13,535 10,542 280
CR7 anapewa sifa akati hata fainali ni kama hakucheza kabisa, na kuua soo akaamua ajifanye kocha benchi
Labda amshinde Messi kwa hereni
 
Forum statistics

Threads 1,273,820
Members 490,485
Posts 30,493,029