PingIdea
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 363
- 183
Pep ndo usimguse hiyo ni habari nyingne unazungmzia kocha bora kuliko wote ulimwenguni[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] EPL mpaka sasa yuko vzr kama unabisha waulize wakongwe wa ligi watakwambiaHaya mawazo mfu alikuwa nayo pia PEP GURDIOLA kabla hajahamia EPL,
Muulizee sasa hivi ndio atakwambia hali halisi!
acheni maneno mingi, wekeni internation trophy ya messi hapa tuione basi???