Pole sana Messi

Mbona umepanik mkuu

Ndio matatzo ya mashabiki wa mmoroco
hahahahhaha sijapaniq mkuu kuna f@la mmoja hapo juu amekuja anacheza rede mbele yangu alafu amevaa msuli tu, sasa mm hizo mishe sipo!
 
Kwani Uefa ni national trophy
uefa haina tofauti na CLUB BINGWA AFRICA, hata Samatta na Ulimwengu thomas wanalo hilo kombe!

najua unajua namaanisha nini,

Timu ya taifa. copa america & world cup!
 
Mtoa uzi ni wakusikitikiwa
Unawezaje mpa pole Messi wakat katika hao wachezaji wote yeye ndiye kaongoza kwa kuitetea nchi yake

Nafikiri unalolijua ni la Messi kuifikisha Argentina Copa America mara 2 na World cup mara 1

Kwa niaba wanaomchukulia King Messi juujuu ni hivi

Messi Kaifikisha Argentina Final ya Copa America mara 3

Kaifikisha Argentina Final world cup

Kaipa ubingwa wa Fifa world cup u23

Kaipa ubingwa wa Copa America u20

Kaipa ubingwa wa Olympic

MESSI SI MTU WA MCHEZO MCHEZO
alikuwa anacheza peke ake??
 
weka kombe mezani PNC 1 acha kutokwa mapovu as if umemeza uyoga wenye sumu!

cr7 Uefa euro 2016!

sanchez copa america 2016!

messi................

ameifikisha ameifikisha ameifikisha ameifikisha ameifikisha ameifikisha ameifikisha ameifikisha! nini????,
KILELENI
 
Pep ndo usimguse hiyo ni habari nyingne unazungmzia kocha bora kuliko wote ulimwenguni EPL mpaka sasa yuko vzr kama unabisha waulize wakongwe wa ligi watakwambia
Pep wa la liga sio huyu wa epl.
 
Swali kutoka kwa anayejiita mfuatiliaji wa mpira

Kwani alipoifunga Brazil Hatrrick hajaitetea?

Rekebisha swali vizur
Hiyo red inatosha kuonesha wewe si shabiki wa mpira bali ni shabiki wa Messi

na hiyo blue rekebisha mwenyewe na ujijibu mwenyewe maana unataka kuulizwa maswali ambayo majibu yake unayo kichwani
 
Hiyo red inatosha kuonesha wewe si shabiki wa mpira bali ni shabiki wa Messi

na hiyo blue rekebisha mwenyewe na ujijibu mwenyewe maana unataka kuulizwa maswali ambayo majibu yake unayo kichwani
utakesha mkuu kusemezana na msukule wa messi,
yeye yupo tayari hata barcelona ipoteze hata mechi ila messi apige chenga, kanzu & tobo roho yake inakuwa nyeuuupeeeee kwa raha zake!
 
Mtoa uzi ni wakusikitikiwa
Unawezaje mpa pole Messi wakat katika hao wachezaji wote yeye ndiye kaongoza kwa kuitetea nchi yake

Nafikiri unalolijua ni la Messi kuifikisha Argentina Copa America mara 2 na World cup mara 1

Kwa niaba wanaomchukulia King Messi juujuu ni hivi

Messi Kaifikisha Argentina Final ya Copa America mara 3

Kaifikisha Argentina Final world cup

Kaipa ubingwa wa Fifa world cup u23

Kaipa ubingwa wa Copa America u20

Kaipa ubingwa wa Olympic

MESSI SI MTU WA MCHEZO MCHEZO
Sio MTU wa mchezo mchezo Bwana
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Hiyo red inatosha kuonesha wewe si shabiki wa mpira bali ni shabiki wa Messi

na hiyo blue rekebisha mwenyewe na ujijibu mwenyewe maana unataka kuulizwa maswali ambayo majibu yake unayo kichwani
Kwani Messi anacheza Rugby ?
 
utakesha mkuu kusemezana na msukule wa messi,
yeye yupo tayari hata barcelona ipoteze hata mechi ila messi apige chenga, kanzu & tobo roho yake inakuwa nyeuuupeeeee kwa raha zake!
Nimeijua Barcelona kabla ya Messi Ronaldinho Kluivert Saviola na hata huyu Enrique kabla ya Figo kutusaliti na hata hatumtegemei Rivaldo

Kwa niaba ya washabiki uchwara wenzio ni hivi
Barcelona niliamua kujiunga nayo baada ya kumsajili Maradona kwa dau nono lililotisha kipindi hiko

Sasa kuanza kushabikia mpira 2012 usijione wajua kila kitu

Sisi(barca) na fact zetu nyie(haters) na porojo zenu

[HASHTAG]#Asante[/HASHTAG]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom