Pole sana mama angu

unataka kusema utakuwa unazaa na nani kwani?
si ndo ile wanaita ni kufanya nje ya ndoa ambayo ni kosa

Lakini nauheshimu msimamo wako hata hivyo.
mfumo ndo unanipelekea nifanye hivyo, kama mapenzi yasingekuwa ya kidigitali hata nisingethubutu, ningesubiri nioe mama, lakini tatizo ndoa za siku hizi ni majanga, natamani ningewahi kuzaliwa enzi zenu ili nifahidi yale mapenzi ya kweli, mapenzi yaliyokuwa yakijali utu, vigezo vilikuwa ni uchapakazi tu, enzi ambazo wapendanao walikuwa na malengo ya dhati na mahusiano yao, tofauti na saa hizi ambapo mabinti saa nyingine hulazimisha ndoa kisa rafiki zake wameolewa, siku hizi mama mabinti hawawataki vijana wenzao wanataka wazee kisa wanawapa pesa, vijana bado tuantafuta na wao hawatutaki wanasema si wababaishaji hatuwezi kuwanunulia magali, yaani tena ukija na hii kitu inaitwa haki sawa wanavyoichukulia ndivyo sivyo ndo inafanya mahusiano yawe magumu zaidi maana mafahari wawili hawakai zizi moja mama.
 
Bado wapo mabinti wazuri,
ikishindikana tutafunga kwa dua na sala hadi upate mke mwema.

Siyo tu mabinti wanawataka wababa watu wazima,
hata vijana wanawataka wamama;

sijajua sababu hasa ni nini; ngoja nifanye research.

 
sitirong na necha kumbe wanatabia za ajabu....sitirong si huyu wa lekchara...nlikuwa namuona mzima kumbe ...
 
Technology hii..jinsia zote wawe care
Mmerud nyumban..anashka tablet yake,ana TWIT,WATSAPP,VIBER,FACE....vyote online..hatak disturbance kabsaaaa...
Miaka ijayo kugegedan online,malez online n.k
 
hivi kuwahudumia waume unamaanisha nini? labda tuanzie hapo.
 
Technology hii..jinsia zote wawe care
Mmerud nyumban..anashka tablet yake,ana TWIT,WATSAPP,VIBER,FACE....vyote online..hatak disturbance kabsaaaa...
Miaka ijayo kugegedan online,malez online n.k
huko ndo tunakoelekea, socialization ni online, wzazi wanashindwa hata kufurahi na watoto wao ila wana muda wa kuchati kwenye mitandao ya kijamii, tunazalisha tabia ya ajabu ambayo mwisho wa siku itatupa shida na ishaanza kutupa shida.
 
Bado wapo mabinti wazuri,
ikishindikana tutafunga kwa dua na sala hadi upate mke mwema.

Siyo tu mabinti wanawataka wababa watu wazima,
hata vijana wanawataka wamama;

sijajua sababu hasa ni nini; ngoja nifanye research.
mama nimekuelewa na mimi nazani tufunge na kuomba tu bila hivyo hii shughuli ni nzito, kuhusu hilo la mabinti kupenda vibabu nilishawahi kuongea na wasichana kadhaa wao wakasema vibabu havina usumbufu na vinajua kubembeleza na siyo vibahili, wakasema vijana ni majanga, kwa hiyo siku hizi imekuwa fashion, siku hizi mwanamke kuwa na mme wa mtu siyo ajabu, na wala hawajifichi, mama tumefika mahali pagumu ambapo panahitaji baraka za mwenyezi mungu kiukweli, maombi ni jambo la msingi kabisa wakati wa kutafuta mchumba
 
hivi kuwahudumia waume unamaanisha nini? labda tuanzie hapo.
namaa nisha hivi kuna vitu vya msingi ambavyo mwanamke lazima amfanyie mwanaume, siku hizi wanawake wengi hawafanyi wao wanazani kugegeduana tu ndo ndoa na majukumu mengine wanayakaimisha kwa wafanyakazi wao wa ndani, hapo ndo shida inapoanzia
 
unataka kusema utakuwa unazaa na nani kwani?
si ndo ile wanaita ni kufanya nje ya ndoa ambayo ni kosa

Lakini nauheshimu msimamo wako hata hivyo.

tunafanya makosa mangap jamani hatuyaoni ila la kuzaa nje ndo linaonekana sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…