Pole sana Malinzi, Wafitini wako Watashindwa

Pole sana Malinzi, Wafitini wako Watashindwa

mpwa, ni kweli huyu jamaa yetu aliosha pesa?

Tena aliosha na jiki. Kama ulikuwa hujui, Malinzi hapo anapambana na serikali, na serikali ndo inataka atoke katika hicho kiti. So jibu unalo kama wafitini watashindwa ama watashinda.
 
TFF ilikua mbovu mno, na huenda ubovu huo ulisababishwa na hizo tuhuma zinazomkabili, kwa sasa acha sheria ifuate mkondo wake, akikutwa na hatia ahukumiwe kama watu wengine. TFF wengi wanafata kupiga deal huku soka letu likidorora, mpira ni ajira kubwa sana kwa vijana, sasa pale pakiwa na wapiga dili manake ajira za vijana wengi zinakua zimeharibiwa.
 
subiri uchunguzi ukamilike kama ameonewa itajulikana tu kwa sasa huwezi sema amefanyiwa fitina, haki itasimama fitina, uongo n.k vitajitenga sidhani kama vyombo vya dola vinaweza kukushuku bila kuwepo na viashiria fulani
 
Wanamwonea mkuu...
Uchaguzi...
Rafiki, swali lako la kwa nn iwe kipindi hiki? Ni kwamba kuna pesa zaidi ya million 900 ilitoka ndani ya wiki moja kimaajabu katika hizi wiki za mwisho mwisho kuelekea kwenye uchaguzi. Halafu aliyekuwa mhasibu aliachishwa kazi kimaajabu pia akawekwa huyu mdada anaitwa Nsia ambaye wakonae kwenye hiyo kesi. Sasa inahisiwa ktk hizo pesa zilizotoka wiki za mwishoni zilikuwa zimetolewa maalum kwa ajili ya kuwasaidia kupeta kwenye uchaguzi(rushwa)..... Ndio maana unaona hii kesi imekuja kipindi hiki, kiufupi ni kuwa imekuja wakati muafaka kwa kosa lilipotendwa. Ila mengineyo ni jukumu la mahakama kuthibitisha kosa... Kama ameonewa itakapobainika tutampa pole. Lakini kabla ya hapo mimi na wewe hatujui, waliomkamata wana ushaidi watuonyesha na sisi sasa tutaujua ukweli.
 
Rafiki, swali lako la kwa nn iwe kipindi hiki? Ni kwamba kuna pesa zaidi ya bilioni 900 ilitoka ndani ya wiki moja kimaajabu katika hizi wiki za mwisho mwisho kuelekea kwenye uchaguzi. Halafu aliyekuwa mhasibu aliachishwa kazi kimaajabu pia akawekwa huyu mdada anaitwa Nsia ambaye wakonae kwenye hiyo kesi. Sasa inahisiwa ktk hizo pesa zilizotoka wiki za mwishoni zilikuwa zimetolewa maalum kwa ajili ya kuwasaidia kupeta kwenye uchaguzi(rushwa)..... Ndio maana unaona hii kesi imekuja kipindi hiki, kiufupi ni kuwa imekuja wakati muafaka kwa kosa lilipotendwa. Ila mengineyo ni jukumu la mahakama kuthibitisha kosa... Kama ameonewa itakapobainika tutampa pole. Lakini kabla ya hapo mimi na wewe hatujui, waliomkamata wana ushaidi watuonyesha na sisi sasa tutaujua ukweli.

Bilion 900.? Au milion 900
 
Billion 900 TFF izitoe wapi mkuu?
 
Utakatishaji fedha hauna dhamana, hawezi kuona maoni hayo. Hata hivyo ataweza kula kifungoooo
 
Wanamwonea mkuu...
Uchaguzi...
Malinzi na viongozi wote wa mpira tz ni wapigaji tu!Acha wanted ndko lbda watajifunza chuoni huko maana walijisahau sana..
Kwa kifupi malinzi walikuwa wanamliaa timing kitambo tu ndy akanasa

Ova
 
Back
Top Bottom