Pole sana Malinzi, Wafitini wako Watashindwa

Pole sana Malinzi, Wafitini wako Watashindwa

Mambo ya kibongo ni ya hovyo hovyo sana, huyu jamaa yetu Jamali Malinzi rais wa TFF anafanyiwa zengwe la kutosha...

Mkuu nakujua sana wewe ni member mzuri hapa jukwaani, endapo utapata fursa ya kusoma uzi huu. Fanya hivi...
Waachie MTFF wao hapo!!
Hiyo mambo ikiisha achana na soka la kibongo, ni mbaya sana kuendeshwa kisiasa...

Wabongo na Wanamichezo wengi wametanguliza maslai yao binafsi mbele.
Hili likipita achana na hii mambo na jishughulishe na biashara zako master.

Pokea salamu zangu za dhati kupitia jukwaa hili...nilisikitika sana kukuona comrade ukipanda kwenye ule m'basi mkubwa wa kijani...Ndiyo hivyo pengine kuna wanaodhani huko TFF kuna maslai mapana, ninachoamini hawatakufunga na endapo watakufunga itakuwa ni fitna tu!!

Fitna zinamwisho na ukweli utasimama.
Piga moyo konde Mkuu...
Wasalamu.
CC: Asprin
Kuna haja ya kuanzisha tag humu...[HASHTAG]#leaveMalinzialone[/HASHTAG]...
[HASHTAG]#freeBishanga[/HASHTAG]...
Mkuu angalia huu uzi usijechukuliwa kama uchochezi... LOL
 
Utashangaa uchawi na wachawi huwa hawaishi, maana yake wanaendelea kuzaliwa, vivyo hivyo na majizi.
Watu tunalaani ufisadi wa kutuhumiwa unaomwandama Malinzi, lakini domokaya mmoja tayari kishaanza kumsafisha, wakati kesi ipo mahakamani!
WaTz tujifunze sheria na kanuni za msingi za mahakama, kuwa kesi ikiwa mahakamani haitakiwi kutengenezewa ushabiki kwa kuropoka, kuonesha mahaba yako yana muelekeo gani kama ulivyofanya mtoa mada, hata kama uliupata na kunufaika na huo mgao wa fedha chafu na kuanza kusimamisha mishipa ya shingo kumtakatisha mtuhumiwa kwa njia ya kupotosha umma.
 
Ndugu yako nni mkuu au we sio mfatiliaji mzuri wa michezo hasa soka inaonekana Malinzi rais bomu wa Tff kuwai tokea ngoja atulie kwanza
 
Back
Top Bottom