Sasa huoni kama njia aliyotumia huyo binti kushout out (juu ya 'kuteswa' kwake) imekuwa ni tatizo zaidi ya kuteswa? Imagine kwenda jela na kunyea debe wakati angeweza hata kutoroka akaiba say pesa au vitu ajilipe kama alikuwa hata mshahara halipwi.
Yan huna hata haya unaona alichomtendea malaika huyo ni haki? Huo ni upuuzi, cdhan kma wew ni great thinker! Hata kma boss kamuudhi ndo amdhuru mtoto??? haiingii akilini. Unajua mtoto wangu ameniumaje? Me mwenyew kumpga mwanangu naogopa af just a maid aje anifanyie hivyo mwanangu??? Mfyuuu!! Nakunyonga kwa mkono wangu
Me ninachoelewa kuhusu hawa mabinti wa kazi wa siku hizi ni kuwa, wengi wao wanafanya hizo kazi kwa sababu tu hawana cha kufanya ila hawazipendi kabisa. Na ndio maana unakuta ni wachache sana wako commited na kazi zao. Hii inapelekea wao kufanya kazi zao kwa hasira ama kalazimishwa vile. Hii huwafanya kuchukia au kuwa na kinyongo au kuona ananyanyasika au pengine kuonewa pale anapoelekezwa kazi.
Hivyo kwenye hii ishu ya dada wa kazi kuna mengi sana ya kuangalia.
Me ninachoelewa kuhusu hawa mabinti wa kazi wa siku hizi ni kuwa, wengi wao wanafanya hizo kazi kwa sababu tu hawana cha kufanya ila hawazipendi kabisa. Na ndio maana unakuta ni wachache sana wako commited na kazi zao. Hii inapelekea wao kufanya kazi zao kwa hasira ama kalazimishwa vile. Hii huwafanya kuchukia au kuwa na kinyongo au kuona ananyanyasika au pengine kuonewa pale anapoelekezwa kazi.
Hivyo kwenye hii ishu ya dada wa kazi kuna mengi sana ya kuangalia.
Hindsight is 20/20!
But without hearing from the girl it would be impossible for us to discern what was really going on in that household that perhaps made her go postal.
It's very possible she wasn't in the right frame of mind.
Sijasema aondoke tu. Anaweza fanya madhara sehemu nyingine ambayo itamhurt the most huyo bazazi bila kumdhuru innocent kid. Awe creative.Kufanyiwa unyama na kuondoka tu nako kunahitaji moyo na ni binadamu wachache sana wanaweza hili
Kama vile ambavyo tunaona ni hali ya ubinadamu tu iliyompelekea huyo jamaa kumuadhibu huyo dada kwa ukatili aliomfanyia huyo mtoto vivyo hivyo tuone ni ubinadamu tu umemuongoza huyo dada kufanya aliyofanya!
Sijasema aondoke tu. Anaweza fanya madhara sehemu nyingine ambayo itamhurt the most huyo bazazi bila kumdhuru innocent kid. Awe creative.
again mzazi reaction yake kwa maid inaeleweka kwasababu huyo ndio muhusika no moja. So reaction ya binti ingekuwa kumwagia maji ya moto mwenye nyumba anayemtesa na sio mtoto.
naona umeamua kutokuelewa tu.
Matatizo ya hawa wadada huwa yana chanzo zaidi ya kimoja,ni jukumu la mwajirkagua mtu anaemuajiri kumlelea mwanae ni mtu wa aina gani
Huyo ambae anafanya kitendo hicho bosi wake anaweza kuwa chanzo kwa maana moja au nyingine,kumyima binti yako wandani haki yake ya kuwa na mahusiano ni kosa na linaweza kuleta mambo haya,lakini pia bado inaweza kuwa chanzo sio hiki pekee ...
Hapana,nimesema kuwa huyu dada kama angekuwa ni kchaa basi asingekaa nao muda wote huo,lakini pia hata kama mfano angekuwa ni kichaa basi huyo mwajiri wake asingekuwa na haki ya kumuadhibu namna ile kwasababu huyu alifanya hivi bila ridhaa yake lakini pia bado huyu mwaajiri wake anatakiwa apewe kibano kwa kutokukagua huyu mtu ana background gani kabla ya kumpa dhamana ya kulelea mtoto
Yote yanamrudia tu .....
Sina lengo la kumbebesha lawama asiestahili,nimesema na ninasema kuwa huyo dada kama ni mzima kiakili ni lazima awajibike kwa makosa yake,lakini kama kuna mtu mwingine ambae nae anaweza kuhusika kwa namna mopja au nyingine nae awajibike pia ....
Unamlipa kiasi gani?
Kinatosha?
Sijui kama hata ulikagua sababu iliyopelekea hilo kutokea ......!!
Lazima utakuwa na matatizo ya akili wewe .....!!
Hakuhitaji tukio la ukatili wa yule mtoto kufikisha ujumbe wake.Mkuu sidhani kama kuna mtu amehalalisha hapa. Anachojaribu kuelezea mtoa mada ni kuwa makini jinsi mnavyowatreat hawa mabinti. Tenda wema utendewe
Hakuhitaji tukio la ukatili wa yule mtoto kufikisha ujumbe wake.
na by the way hatuhitaji kuwatreat binadamu wengine (sio maids tu) vizuri ili wasitudhuru (as defense mechanism); tunapaswa kuwatendea watu vizuri kwa sababu ndivyo inavyopaswa. Hata asiyeamini uwepo wa Mungu analijua hili.
Unadeal vipi na mtu mzima mwenzio ambae pengine hata kumsogelea tu uongee nae neno moja tu unatakiwa ujipange wiki nzima??
Still angetafuta njia nyengine Sio kumfanya mtoto vile wallah nimeona hiyo clip sijaweza kuimaliza ..
Ulishawahi kutendewa unyama na mtu halafu ukaondoka tu?
Maana binadamu tunajidai ni watakatifu sana wakati na sisi ni wale wale tu ....!!
Then they are what they are, period, end of sentence.
I'm all about fairness.
*Please, instead of toddlers let's use (young) children*
Hakuhitaji tukio la ukatili wa yule mtoto kufikisha ujumbe wake.
na by the way hatuhitaji kuwatreat binadamu wengine (sio maids tu) vizuri ili wasitudhuru (as defense mechanism); tunapaswa kuwatendea watu vizuri kwa sababu ndivyo inavyopaswa. Hata asiyeamini uwepo wa Mungu analijua hili.
Damn!!
What? unashangaa nini? ama umeguna?