KIKOSIKAZI
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 2,219
- 1,150
is it abusive?? my bad.
Yani kwa hapo huyo bint amekosea ange deal na wazazi sio mtoto,na hakulazimishwa kazi ukiona sehemu kuna mateso unaondoka atakua ana mamtatizo ya akili sio bure.....
Najua na nimelisema hilo kuwa hakuna kitendo ambacho kinahalalisha alichofanya huyo dada.lakini tatizo latu mara nyingi tunaangalia tulipoangukia na sio tulipojikwaa,inawezekana kabisa huyu dada kilichomfanya akafanya haya ni matokeo ya mateso,yes inawezekana alitakiwa kuondoka tu,je unajua kama hata njia ya kwao anaijua?
Kuna wadada wengine wanachukuliwa huko na kuja kupatiwa makazi kama haya na wanakuwa kama wapo kisiwani tu na hawana cha kufanya,lakini pia hata kama kingekuwepo cha kufanya kwa maana ya kuondoka,yule dada ni binadamu kama wengine,ukifanyiwa ubaya na ukatili kunakuwa na hali ya kutamani kisasi,hiyo ni kawaida kwa binadamu,mara nyingi huyu dada aaliona hawezi kuwaadhibu waajiri wake [kama walimfanyia ubaya] na aliona mnyonge wake ni huyu mtoto masikini ya Mungu]
Huyu mtoto anakuja kuwajibika kwa makosa ya waajiri wake,binti akaamua kumfanya alivyofanya,lengo langu sio kumuondoa huyu binti hatiani bali kujaribu kuangalia wengine ambao walisababisha hili tukio kwa namna moja au nyingine nao kuwajibika na sio kumfanya huyu binti mbuzi wa kafara na kumfanya ndio shetani kuliko shetani mwingine ambae anazunguka tu kwa raha zake na ndio aliyesababisha kwa hakika tukio hili!
So me being me, I'm curious now....
Huyo dada naye keshasema ya upande wake?
Nah...it's just semantics. Young children is more inclusive than toddlers.
Na hapa ndipo matatizo yanapoanzia, kila mtu ataka kuwa "bosi". Hata kuandaa chakula cha jioni baada ya kazi, maji ya kuoga ni tatizo.Unakuta jitu nene limekaa linaangalia tamthilia halafu eti hata maji ya kuoga linataka lichemshiwe na liwekewe bafuni.
Like seriously?
Bora umeliona hata hili!
Sidhani kama anaweza hata kupewa hiyo nafasi ya kusema....hata akiongea ataonekana anaongea kichina tu kwa sababu tulishamhukumu tukamuona ni shetani. Lakini mimi naamini kuna mambo yapo nyuma ya pazia pale si bure
Matatizo ya hawa wadada huwa yana chanzo zaidi ya kimoja,ni jukumu la mwajiri kukagua mtu anaemuajiri kumlelea mwanae ni mtu wa aina ganiDude, kuna video ingine binti anamfanyisha katoto ka kiume matendo machafu machafu hadi kichefu chefu. Huyo nae aliteswa akapata nyege za kukifanyia kitoto kichanga ufuska kama ule?
Hapana,nimesema kuwa huyu dada kama angekuwa ni kchaa basi asingekaa nao muda wote huo,lakini pia hata kama mfano angekuwa ni kichaa basi huyo mwajiri wake asingekuwa na haki ya kumuadhibu namna ile kwasababu huyu alifanya hivi bila ridhaa yake lakini pia bado huyu mwaajiri wake anatakiwa apewe kibano kwa kutokukagua huyu mtu ana background gani kabla ya kumpa dhamana ya kulelea mtotoUnaposema dada hakuwa kichaa una maana vichaa ni akina nani? wanaotembea mtaani? walio spitali wamefungwa chains ama unaongea ukibase on just one type of insanity.
Sina lengo la kumbebesha lawama asiestahili,nimesema na ninasema kuwa huyo dada kama ni mzima kiakili ni lazima awajibike kwa makosa yake,lakini kama kuna mtu mwingine ambae nae anaweza kuhusika kwa namna mopja au nyingine nae awajibike pia ....We have to accept blame when we are wrong and strive to change things.... this blame shifting games wont land us anywhre.
Unamlipa kiasi gani?By the way, as long as am paying you decently and treating you right, I am under no obligation to go the extra mile. Thats a job like any other.
Sijui kama hata ulikagua sababu iliyopelekea hilo kutokea ......!!P/s. Sorry if it appears am furious but kama nilivyosema kwenye thread yangu binti alimtishia mwanangu kumchinja na kisu silu ya nne kazini. Mfano silumsilia? Na hapo sijamsema acha kumnyooshea kidole.
Mbona kauli na thread yako inaonesha kuhalalisha alichokitenda huyo mdada wa kazi?
Oa uzae halafu uwe na uhitaji wa maid tuone kama utawaita pumbaf watakaomlaumu maid wako akimuambikiza ukimwi kwa makusudi your lil Junior
Nlichangia katika uzi uliopita kuwa lazima watu tufikirie nje ya box kwa tukio hili na pia kujifunza haswa tukiangalia hali halisi..ila wakurupukaji wakatukana sana,wanakuambia hata kama binti alikuwa anateswa ila hakutakiwa kumfanyia mtoto vile,sasa unajiuliza kama unakiri kuwa hata kama alikuwa anateswa ila hakutakiwa kufanya vile,ulitaka aweke sumu kwenye chakula au apige nyumba nzima kiberiti akiwa amefunga milango usiku auwe wote sasa??...nikupongeze mtoa mada na wengine kwa kuliangalia hili kwa mapana yake,watu wengi wenye fikra fupi huamua jambo kwa kuangalia matokeo badala ya mzizi wake...bado nasema siungi mkono kitendo chochote cha uhalifu dhidi ya binadamu..
Sasa huoni kama njia aliyotumia huyo binti kushout out (juu ya 'kuteswa' kwake) imekuwa ni tatizo zaidi ya kuteswa? Imagine kwenda jela na kunyea debe wakati angeweza hata kutoroka akaiba say pesa au vitu ajilipe kama alikuwa hata mshahara halipwi.
Yan huna hata haya unaona alichomtendea malaika huyo ni haki? Huo ni upuuzi, cdhan kma wew ni great thinker! Hata kma boss kamuudhi ndo amdhuru mtoto??? haiingii akilini. Unajua mtoto wangu ameniumaje? Me mwenyew kumpga mwanangu naogopa af just a maid aje anifanyie hivyo mwanangu??? Mfyuuu!! Nakunyonga kwa mkono wangu
Yan huna hata haya unaona alichomtendea malaika huyo ni haki? Huo ni upuuzi, cdhan kma wew ni great thinker! Hata kma boss kamuudhi ndo amdhuru mtoto??? haiingii akilini. Unajua mtoto wangu ameniumaje? Me mwenyew kumpga mwanangu naogopa af just a maid aje anifanyie hivyo mwanangu??? Mfyuuu!! Nakunyonga kwa mkono wangu
huyo binti ni mkatili tu.....wapo wengi wa aina hio wana abuse watoto bila yao wao kuteswa na wana familia, maids ni watu kama sisi kuna wakatili na wema huyu ni KATILI I CALL HER MNYAMA.....nimelelewa na madada hawa na nawapenda na kuwaheshimu ila huyu ni mnyama....ukatili wa wazazi hauwezi kumsukuma binadamu wa kawaida kumuadhibu mtoto yule kiasi hiki....ange revenge kwa wazazi in one way or another ningeweza kuelewa hio kulipiza kisasi lakini kwa kale katoto,ni ukatili tu.
Eiyer umesema 'kama yapo' maana yake hatuna uhakika ni speculation tu. Tufanyie kazi speculation? Ilhali kuna some ugly facts tayari.
Of course sheria itafuata mkondo na ndio maana kuna wanasheria wa serikali.
Wito ambao ungeutoa ni kuwe na ngo ambayo inafuatilia kwa karibu maslahi na haki za wadada wa kazi. Au hata desk police kama ilivyo kwa desk la gender violence.. lkn kumtetea binti kwa assumption kwa kitendo kile ni kitu ambacho binafsi sikiungi mkono.
ungekuwa mmama mwenye watoto na unapata adha ambayo watu wanaipata kidogo ningekuelewa