Pole sana Dada

yeye ndio kajipotezea
 
Lakini tuende mbele, turudi nyuma, wadada wa kibongo wakiishiwaga , Wanasumbua sana, ila ukiingia kwenye 18 zake wanajiona masofa.
 
duh! lazma utayalipa machoz yake sio sasa hat baadae nmeamua kumalizia mkuu
 
Haya mambo bwana mungu awasaidie wote mna wakati mgumu si me wala si ke kupata mtu sahihi wa kuishi nae kwa amani.wewe umebaki na pole dada hujajua kama una bomu gani umebeba zaidi kila mmoja amwombe mungu ampe mwenza sahihi na muda aliyopanga yeye .umri usimwumize mtu kichwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…