Pole Pole amegundua watanzania bado wajinga kwa hiyo anafanya Political Manipulation

Soka Ndio Maisha Yangu

Senior Member
Joined
Nov 27, 2024
Posts
110
Reaction score
377
Manipulation is often misleading others, unafanya deceptive or covert influence ili uamike kwa kila uongo unaousema.

Kwenye political manipulation kuna spreading misinformation, gerrymandering, fabricated evidence, na strategic use of information.

Juzi taasisi ya elimu ya watu wazima imesema ujinga nchini umeongezeka hadi 16%, ni kwa sababu tunapenda kusikiliza mambo ya uongo uongo tu.

Leo hata akisema Magu aliuawa, Nkapa aliuawa, Mwinyi aliuawa watanzania wanakubali tu

Lkn kumhoji hawamhoji, hatari sana
 
Aambiwe kile kile alichokuwa anasema "watanzania wanataka maji vijijini sio katiba "😂

Ni zamu yake kuyajua maumivu ya mkuki na asipojiangalia atazeekea na kufia huko huko nje, huyo Pole polehizi hasira zake ni za kutetea maslahi yake hana uzalendo wowote ule, kumbukeni kipindi ambacho alikuwa na cheo alikuwa ana huu moto ?
 
wewe ndio Muongo sasa. kwani nani hajui kuwa CCM inaiba kura? nani hajui mifumo inashirikiana na ccm kuiba kura? nani hajui kwamba magufuli awam ya kwanza hakushinda na kikwete awam ya pili hakushinda? nani hajui kuwa ccm NEC AU INEC wanateua wabunge madiwan hata Rais kwa kufanya igizo la uchaguzi?
 
Kasema anataka kupinga alete expert wa IT asiye na upande wowote akathibitishe asa we unakuja na domo lako tu eti Tanzania asilimia 16 ni wajinga na taasisi hizo za mchongo ndio zikasema samia anapendwa na asilimia 83 ya watanzania 🙂 mavi yake..
 
Manipulation is often misleading others, unafanya deceptive or covert influence ili uamike kwa kila uongo unaousema.

Kwenye political manipulation kuna spreading misinformation, gerrymandering, fabricated evidence, na strategic use of information.

Juzi taasisi ya elimu ya watu wazima imesema ujinga nchini umeongezeka hadi 16%, ni kwa sababu tunapenda kusikiliza mambo ya uongo uongo tu.

Leo hata akisema Magu aliuawa, Nkapa aliuawa, Mwinyi aliuawa watanzania wanakubali tu

Lkn kumhoji hawamhoji, hatari sana
Nakubaliana na wewe. Tupunguze ujinga wetu kwa kusoma, tutafute na kujiongezea maarifa. Vitabu vipo na machapicho mengine yapo. Udanganyifu kwenye chaguzi umekuwepo wakati mwingi. Sokoine alipochaguliwa kuwa mbunge 1965, mchango wake wa kwanza bungeni alizungumzia mambo matano, na matatu ya mwanzo yaligusa udanganyifu kwenye uchaguzi. Kinachobadilika kadri tunavyokwenda mbele ni njia za udanganyifu ila si udanganyifu wenyewe kwani udanganyifu ni udanganyifu. Tukipunguza ujinga na wajinga tutatibu matatizo yetu mengi. Tuache kuwa reactive tuwe proactive.
 
Manipulation is often misleading others, unafanya deceptive or covert influence ili uamike kwa kila uongo unaousema.

Kwenye political manipulation kuna spreading misinformation, gerrymandering, fabricated evidence, na strategic use of information.

Juzi taasisi ya elimu ya watu wazima imesema ujinga nchini umeongezeka hadi 16%, ni kwa sababu tunapenda kusikiliza mambo ya uongo uongo tu.

Leo hata akisema Magu aliuawa, Nkapa aliuawa, Mwinyi aliuawa watanzania wanakubali tu

Lkn kumhoji hawamhoji, hatari sana
Sema amegundua Mimi ni MPUMBAVU
 
Kasema anataka kupinga alete expert wa IT asiye na upande wowote akathibitishe asa we unakuja na domo lako tu eti Tanzania asilimia 16 ni wajinga na taasisi hizo za mchongo ndio zikasema samia anapendwa na asilimia 83 ya watanzania 🙂 mavi yake..
Huyu mleta uzi ni tapeli ameona mrija unaenda kukatwa. Shenzi type, pambania kesho ya watoto wako badala ya kuweka tumbo lako mbele.
 
Aambiwe kile kile alichokuwa anasema "watanzania wanataka maji vijijini sio katiba "😂

Ni zamu yake kuyajua maumivu ya mkuki na asipojiangalia atazeekea na kufia huko huko nje, huyo Pole polehizi hasira zake ni za kutetea maslahi yake hana uzalendo wowote ule, kumbukeni kipindi ambacho alikuwa na cheo alikuwa ana huu moto ?
Unamaliza bando lako tu, jamaa anasepa na kijiji kizima
 
Manipulation is often misleading others, unafanya deceptive or covert influence ili uamike kwa kila uongo unaousema.

Kwenye political manipulation kuna spreading misinformation, gerrymandering, fabricated evidence, na strategic use of information.

Juzi taasisi ya elimu ya watu wazima imesema ujinga nchini umeongezeka hadi 16%, ni kwa sababu tunapenda kusikiliza mambo ya uongo uongo tu.

Leo hata akisema Magu aliuawa, Nkapa aliuawa, Mwinyi aliuawa watanzania wanakubali tu

Lkn kumhoji hawamhoji, hatari sana
TAKATAKA
 
unafikili watanzania wajinga kwa sasa msomi wa chuo ndiye bodadoda ,watu wanazo fununu sema wanataka nani aseme anayejua vizuri ,nrne ilikuwa sahihi sana ndio maana vita imekuwa kubwa
 
Kama akina kibao
Manipulation is often misleading others, unafanya deceptive or covert influence ili uamike kwa kila uongo unaousema.

Kwenye political manipulation kuna spreading misinformation, gerrymandering, fabricated evidence, na strategic use of information.

Juzi taasisi ya elimu ya watu wazima imesema ujinga nchini umeongezeka hadi 16%, ni kwa sababu tunapenda kusikiliza mambo ya uongo uongo tu.

Leo hata akisema Magu aliuawa, Nkapa aliuawa, Mwinyi aliuawa watanzania wanakubali tu

Lkn kumhoji hawamhoji, hatari sana
Yaani umeona watanzania ni wajinga na wewe ndo mwenye akili. Wanao ua ni watanzania na wanaouwa ni watanzania; wanaosema ni watanzania na wanaosikiliza ni watanzania; wanaoamini ni watanzania na wasioamini ni watanzania, usiwapangie watanzania cha kuamni na kutokuamini; weka fact zako ili wasiamini wanayoyasikia kutoka kwa watanzania wenzao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom