Mkubwa nisamehe saana, hii ni kutokana na style ya uondokaji ambapo imekuwa ni wa kushtukiza. Hata hivyo naamini tuko pamoja na mnaniombea.Pole sana mkuu, kwa kweli nilikuwa sijui chochote kuhusu hili.
Amina kiongozi wangu. Nakushkuru sn kwa ku' break nyuz kwa wanabodi, japo hadi dakika hii sijafanikiwa kukujua. Kwa maombi yenu wote naamini kabisa kuwa Mungu atasikiliza na kutenda kwa favor yetu sote. Be blessed!PakaJimmy kafiwa na baba mkwe na hivi sasa yuko safarini kuelekea Mbeya msibani. Kwa udau wake mkubwa hapa JF nimeona niwajulishe.
Mungu ailaze pema roho ya baba mkwe.
Charminggirl nakugongea like 300 bibiepole sana mkuu PJ . . Mwenyezi Mungu awatie nguvu na kuwalinda wakat wote wa safari wewe pamoja na familia yako. kwa niaba ya jf ladies wote, natoa pole tena kwa wifi yetu!
Mkubwa wetu Ngongo , thanxs alot kwa kujali na kuonyeha moyo wa upendo. Naamin taratibu zipo kabisa na ukimPM kiongozi wetu mtukufu Mzee wa Rula atakufahamisha. Tuko pamoja mkubwa.Komred PakaJimmy,
Pole sana tafadhali wanaJF Arusha tujulisheni kama kuna utaratibu wa michango na nk.
PakaJimmy kafiwa na baba mkwe na hivi sasa yuko safarini kuelekea Mbeya msibani. Kwa udau wake mkubwa hapa JF nimeona niwajulishe.<br />
Mungu ailaze pema roho ya baba mkwe.
Amina kiongozi wangu. Nakushkuru sn kwa ku' break nyuz kwa wanabodi, japo hadi dakika hii sijafanikiwa kukujua. Kwa maombi yenu wote naamini kabisa kuwa Mungu atasikiliza na kutenda kwa favor yetu sote. Be blessed!