Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,317
Nimecheka sana mkuu, matokeo yake wale waliopaswa kuwa manesi wanakuwa CD.Nesi ni kama customer care ukimwona kamoyo kanapaswa kadunde dunde.
Ndo ivo tena masomo hayo wazuri wengi yanawagonga, wangeruhusu div zero tungeenjoy sana.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Duh kajibandua vizuri
Oohh ooh, masikini nesi kachoka, lakini kalalwa utam
Huwa inaniuma kama nini, badala ya kudili na CV za appearance wanaangaika na makitu ya kukariri..Nimecheka sana mkuu, matokeo yake wale waliopaswa kuwa manesi wanakuwa CD.
Mkuu mbona wewe huumwi?Unaenda kufanya nini?[emoji125] [emoji125] njiani kwenda hospitali
Au wewe unaenda hospital mpaka uwe unaumwa au? HahahahaMkuu mbona wewe huumwi?Unaenda kufanya nini?
Labda pengine unakuja kumsalimia nesi wetuAu wewe unaenda hospital mpaka uwe unaumwa au? Hahahaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Labda pengine unakuja kumsalimia nesi wetu
Ila kimsingi hata malaria huna sembuse mafua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naenda kucheck afya tuIla kimsingi hata malaria huna sembuse mafua