Mkuu nampa pole Pscal ila nikumbushe tu Mayalla alifanya kazi RTD kabla kunzishwa kwa IPP. Ukifanya kazi RTD wakati hule ilikuwa inakupa umaarufu sana. Pascal na watu kama Abubakar Liongo walikuwa watangazaji wa RTD. Sina hakika na umri wako ila IPP ilianza 1994 wakati huo RTD ina umri wa zaidi ya miaka 35. Itabaki kama historia kwamba Pascal, kama waandishi wengine wa habari, naye alifanyia kazi IPP kwenye kituo cha ITV. Pascal pia amekuwa MC hata kabla hajajiunga na ITV. Kea hoja hizo, Pascal angeendelea kuwa maarufu hata kama asingejiunga na ITV. Hivi nikisema ITV ilipata umaarufu kutokana na mchango wa Mayalla ntakuwa nimekosea?