Pole Mr. Lissu, Mungu yupo nawe

Pole Mr. Lissu, Mungu yupo nawe

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,136
Reaction score
96,161
From X

Umetimiza siku 340 leo Gerezani.
Aliyekubambikiza kesi ya UONGO yuko busy kufanya maigizo ya kuasili watoto huku mtaani ili aonekane ana upendo kwenye macho ya dunia.
Uzuri ni kwamba historia haidanganyi.
IKO SIKU!.

20260317_095140.jpg
 
Juzi nimekaa sehem nikila nyago kubwa langu maafande wakaingia zile zao kila mtu atulie alipo hatuna ubaya nanyinyi. Wewewe mbona walichoka. Yan wakakosea wakaingia wote ndani aki tuliwanigia kila aina ya pombe hadi sa ivi wengne hataripoti kazn. Aliye mkamata lissu hata yeye mda huu anajutia. Ila yatapita tu.
 
From X

Umetimiza siku 340 leo Gerezani.
Aliyekubambikiza kesi ya UONGO yuko busy kufanya maigizo ya kuasili watoto huku mtaani ili aonekane ana upendo kwenye macho ya dunia.
Uzuri ni kwamba historia haidanganyi.
IKO SIKU!.

Mungu ni wa wote gentleman,

na ni muhimu sana kufahamu kwamba,
asie na utii atatiishwa na asie na adabu ataadabishwa ipasavyo.
hakuna haja ya kuija matumaini hewa useless kindezi hivyo
 
From X

Umetimiza siku 340 leo Gerezani.
Aliyekubambikiza kesi ya UONGO yuko busy kufanya maigizo ya kuasili watoto huku mtaani ili aonekane ana upendo kwenye macho ya dunia.
Uzuri ni kwamba historia haidanganyi.
IKO SIKU!.

Alisema atakinukisha na kweli kikanuka ..!!yaani hapo ni mwendo wa kesi mpaka 2030..then rais mwingine akiingia apambane nae
 
Ikekera kwa lugha yetu ni kinyesi kilichonyeshewa naamini hata kwenu neno hili linamaanisha hivyo!
Siku nyingine usikubali kuwa kinyesi kilichonyeshewa. Umeandika ujinga.
 
Umejuaje kama nimeandika ujinga kama ww si mjinga?..
 
Ikekera kwa lugha yetu ni kinyesi kilichonyeshewa naamini hata kwenu neno hili linamaanisha hivyo!
Siku nyingine usikubali kuwa kinyesi kilichonyeshewa. Umeandika ujinga.
Kwani oct 29 hakikunuka?..shida ya huyo muhuni wenu hajui kukaa na jambo ..yy ni lopolopo..hapo angekaa kimya mkawa mnapanga mambo yenu kimyakimya labda Leo tungekuwa tunaongea mengine..
 
Back
Top Bottom