funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,426
- 31,929
- Thread starter
- #121
Huwa siendi kichwa kichwa kama Kaibu Mwenezi wako,Mwenyekiti wake akisema leo katukane anaenda bila kufikiri,mie nitahitaji facts na evidence vinginevyo huna right ya kuongea chochote.Hutafautiani na Nape...
Mbona ushahidi upo..soma thread kwa umakini.Muuza magazeti wa kinondoni home alone awe mbunge?