less informed. Huyo ni madabida mkuuDidas Masaburi mbona ni Team Lowasa ? Maana alifikia hata hatua ya kumfananisha Lowasa na Mtume Muhamad
Kila siku nakuambia jingalao usikubali kuandikiwa upost tu sasa ata ujui mnyika anagombea jimbo gana haya kachukue buku saba yakoNaona Ukawa wako kwenye mihemuko na kusherehekea mabilioni waliyohongwa huku wakisahau kuwa jimbo la Ubungo limeshapata muarubaini wa maendeleo ndugu Didas Masaburi.
Mnyika atatakiwa kukabidhi jimbo kwa Masaburi.
Naona Ukawa wako kwenye mihemuko na kusherehekea mabilioni waliyohongwa huku wakisahau kuwa jimbo la Ubungo limeshapata muarubaini wa maendeleo ndugu Didas Masaburi.
Mnyika atatakiwa kukabidhi jimbo kwa Masaburi.
Tatizo IQ ya Teamdodoki iko chini sana hamuelewi kilichoandikwa.Kila siku nakuambia jingalao usikubali kuandikiwa upost tu sasa ata ujui mnyika anagombea jimbo gana haya kachukue buku saba yako
Naona Ukawa wako kwenye mihemuko na kusherehekea mabilioni waliyohongwa huku wakisahau kuwa jimbo la Ubungo limeshapata muarubaini wa maendeleo ndugu Didas Masaburi.
Mnyika atatakiwa kukabidhi jimbo kwa Masaburi.
Mbunge wa Ubungo ni nani??
Mnyika atakabidhi jimbo kwa Masaburi.kamkimbia Masaburi
Kumbe hata hujui UBUNGO nani anagombea kwa Tiketi ya Chadema?Pole sana.Basi Mnyika anagombea KIBAMBA