Pole Mnyika, Ubungo inaenda kwa Masaburi!

Pole Mnyika, Ubungo inaenda kwa Masaburi!

Lileta mada lenyew jinga ni sawa na kukimbizana na kichaa ukiwa uchi
 
Elungata Lowassa hahitaji kunadiwa sana ndg yng...nyota yake inatosha kuwa mvuto...safari hii hayupo msoma nyota wa ccm kinaumana...malimao yatahusika

Nimeipenda sana kamanda
 
ha ha,alipo mnyika masaburi yupo,KIBAMBA ONE HIYOOOO.

Sijakuelewa.Kibamba ni jimbo lingine na Ubungo ni jimbo lingine haujui hilo?Basi hayo ni MAJIMBO mawili tofauti...
 
Jamani kuna watu siasa hawaijui wanadandia tuuu...Mnyika kapewa kibibi kimoja kinaitwa Fenera Mukandara...ni kama anasukuma mlevi...ukikomaa kisiasa unapisha jimbo unasongesha majeshi ya ukombozi mbele...ila lzm tujue pia wanaoipigia ccm chapuo co watu mtaumiza vichwa bureeee

Mnyika hana haja ya kupiga kampeni kabisa mwaka huu kwani jimbo lipo tupu kwa cdm
 
Sijakuelewa.Kibamba ni jimbo lingine na Ubungo ni jimbo lingine haujui hilo?Basi hayo ni MAJIMBO mawili tofauti...

yeah,nilidhani masaburi anagombea kibamba bana angemletea kazi sana kijana mnyika
 
Naona Ukawa wako kwenye mihemuko na kusherehekea mabilioni waliyohongwa huku wakisahau kuwa jimbo la Ubungo limeshapata muarubaini wa maendeleo ndugu Didas Masaburi.

Mnyika atatakiwa kukabidhi jimbo kwa Masaburi.

so what??? kwani wewe hutaki lichukuliwe??? kama ni mwarobaini wa maendeleo ndio maana wamemwachia jimbo... au wewe ulitakaje!!
 
Naona Ukawa wako kwenye mihemuko na kusherehekea mabilioni waliyohongwa huku wakisahau kuwa jimbo la Ubungo limeshapata muarubaini wa maendeleo ndugu Didas Masaburi.

Mnyika atatakiwa kukabidhi jimbo kwa Masaburi.

Umeya ulimshinda jimbo ataliweza????????///
 
Wana ubungo walimpiga mawe mnyika wakamwambia tumekutuma ukatusemee changamoto zetu wewe unaenda kususia bungeni..
Pia wakamyahidi kutompa kura tenaa ndio sababu ya kuhama mji

Hata kuandika hujui div 5
 
Hivi ni kwanini kwenye hiki kipindi "MADA MOTOMOTO" Polepole ni lazima ahalikwe.

Hpa lazima tujiulize sana.................
 
CCM wakitaka kuua band,majimbo yote ya mastar wa ukawa kama mnyika,lisu,msigwa etc yapelekwe mashambulizi makubwa ya kampeni za kufa na kupona ili kuhakikisha hawapati mda wa kuzunhguka na white hair....

kwavile white hair hajui kusema atajikuta kapoteza channels na watu kumuona kumbe ni bosheni,hamna kitu......

Naona ushakuwa kipofu na nakushauri uwe makini husije kujikuta unaangukia misumali
 
Ila mpelekeni polepole kama alivyo kaka yake polepole na makonda...anataka kuhama ila ss chama ndo kilimleta mjini...alikuja na mbio za mwenge akabaki anashindwa kukisaliti chama...ccm itawaua wng...
 
yeah,nilidhani masaburi anagombea kibamba bana angemletea kazi sana kijana mnyika

Ah! Wapi?Ungejua wanakibamba piga ua JJ Mnyika ndiyo Mbunge wetu,na hapo ubungo atajuta kwanini alihonga kwekye kura za maoni.
 
Hivi ni kwanini kwenye hiki kipindi "MADA MOTOMOTO" Polepole ni lazima ahalikwe.

Hpa lazima tujiulize sana.................
 
Huyu aliyehonga wanachama wa CCM ili apate kugombea UBUNGE?Hivi unadhani watanzania ni wapumbavu kiasi hicho?Kwa sababu mmepokea vijisenti basi mnafikiria wote tunapokea?Huyu Masaburi aliyeuza UDA ndiyo unamsheherekea?

Pole halafu Mnyika hagombei huko naona alikuwa muarobaini wenu bungeni

Nyie mliopewa mabilioni...oh sorry kumbe mabilioni yaliishia kwa mwenyekiti.
 
Back
Top Bottom