Mh E.Lowasa kafiwa na mdogo wake Lonard Lowasa,kifo kimetokea ktk Hospital ya AICC Arusha na mazishi yatafanyika kijijini kwao Ngarashi Monduri Jpili ya Tareh 25/12 saa nane mchana
mungu ailaze Roho ya Ronald Mahali pema amin
Bwana ametoa na pia ametwaa jina la bwana liabudiwe
ina maana humu jf jakaya ni maarufu kuliko lowassa??maana naona comment za msiba huu wa lowassa hazitoshi kabisa compared na zile za siku ile jakaya alifiwa na dada wa pale magomeni mapipa....mashabiki wa lowassa urafiki sio wakati wa raha hata wakati wa vipindi vigumu mshikame pamoja,naona mnaanza kupoteana mapema wakati mna safari ndefu sana ya kumsindikiza jamaa mpaka 2015!
mi napita zangu.