Pole Membe, unavuna ulichopanda

Ila kweli jamaa alikuwa na mbwembwe za kitoto sana. Mara achapishe kadi feki awape wanakijiji wake wakatupe. Mara atishie kutumia uchawi, khaaa. Utafikiri Ngosha kwao hakuaga.
Leo eti na yeye anapew uteuzi na Zitto Kabwe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mleta mada usitusemee
Sisi tunasimama na Bernad Kammilius Membe
Yeye ni mgombea pekee mwenye maono, sera na substance zinazohusu maendeleo sahihi ya mwananchi.

Katika wagombea wote wenye kuzungumza masuala ya wananchi, Membe ndiye anayeongoza!
 
Tupo pamoja, ila shida ni hawa waliokuwa wanajaza post humu za kumtukuza membe alafu sasa hivi wanaanza kumtukana
Mleta mada usitusemee
Sisi tunasimama na Bernad Kammilius Membe
Yeye ni mgombea pekee mwenye maono, sera na substance zinazohusu maendeleo sahihi ya mwananchi.

Katika wagombea wote wenye kuzungumza masuala ya wananchi, Membe ndiye anayeongoza!
 
Membe bado yupo kwenye mstari myoofu na atakuwa ndani ya muungano na atatimiza ndoto yake vizuri kabisa kama mwanzo, subirini mchakato ukamilike msiwe na short conclusions.
 
iMEKUWAJE tena leo Membe anamuita Magu ´´Mzee Wetu´´ ?

Nimesikia hii akiwa anazungumzia jinsi ACT ilivyojipanga kufanya kampeni za kistaarabu, ili uraisi utoke ´´Kwa mzee wetu Magufuli´´ uje kwa ´´Mzee Membe´´.

Mbwembwe na nyodo za jasusi mbobezi mbona zinazimika wakati ngoma bado mbichi?
 
Siasa ndivyo ilivyo. Lowasa, Mrema, na Sumaye wako wapi? Wote wamerudi "nyumbani". Kazi kweli. Upinzani unahitaji uvumilivu wa hali ya juu.
Lakini kumbuka ushindi ni kura, kumkataa aliye hama kutoka ccm haikufaidishi bsli unapoteza kura yake.

Anao mchango wa wapiga kura, sio kuongoza chama cha upinzani.
 
I
le twende na Membe 2020 si isikii tena haaa haaa waTZ nyoko sana.
 
Mbona sijaona ulichoshauri hapo? Au ulifikiri kutoa ushauri ni jambo rahisi!?
 
Siasa ndivyo zilivyo, nashangaa hujamuonya Mbatia! Kuna kipindi ID fake zilimpa primo sana mitandaoni na kumuaminishia kuwa anaweza kuwa na nguvu uchaguzi hui na kuwa chamΓ‘ kikuu cha upinzani! Lakini ameachwa solemba na hatuoni zile nyuzi za NCCR!
 
Ivi membe yupo?[emoji1][emoji39][emoji111]
 
Kazi walishakabidhiwa UVCCM siku ile mwenyekiti alipochukua form. Wameshaanza kugawana threads humu. Wapuuzi. Tukaneni wee, mkejeli wee, mwisho wa siku uteuzi unakwenda BAVICHA.
 
hili la kwako nalo ni tusi lakini!
 
Membe vigogo wanaomsubiri kumfuata kutoka ccm wako wapi maana filimbi imelia hawajaonekana au ndo hao wamekuuza mzimamzima
 
Membe sijaelewa kabisa calculations zake

Jasusi mbobezi alishindwa kabisa kufahamu kuwa wana CCM wa sasa wanamuogopa magufuli kuliko mtu yeyote hapa Tz, hakuna wa kumpinga magufuli hadharani kwa CCM hakuna, Magu ametia watu unyonge, amewatia udhaifu na ulemavu wa kifikra, maana ukimpinga leo, kesho unaanza kuishi kama shetani. Hivyo watu aliodhani wapo nyuma yake, hawawezi hata kuthubutu kupiga hatua moja nae.

Binafsi siwezi acha kutupa lawama kwa Rais Magufuli na uongozi wake wa chuki, vitisho na visasi. 2015 kwenye moja ya kikao sikumbuki vizuri kilikuwa ni cha KK ya CCM au vinginevyo, nilishuhudia kiongozi mmoja akipingana kwa hoja (katiba ya chama) na viongozi wake wakubwa zaidi ya wanne akiwemo Mzee kikwete, Mzee kinana, Bi Asharose, na Nape na wengineo. Leo hii nani anaweza kuthubutu kunyanyua mdomo wake mbele ya Magufuli? Nani? Hii ndio tafsiri ya kinachotokea kwa Membe kwa sasa labda watamuunga mkono gizani, napo gizani pamemulikwa kweli kweli, Ngoja tuone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…