Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,375
- 111,696
Naogopa kumuona mtu akiwa anachomwa sindano...
...vipi kudungwa weye sindano?
Naogopa kumuona mtu akiwa anachomwa sindano...
Hakikisha simu yko haiishi chaji,
...vipi kudungwa weye sindano?
Naogopa sana sindano
Sipendi hata kuiona hivi huyu aliyeianzisha sijui aliwaza nini? kwa kweli kuikimbia wala sio kazi labda niwe mahututi
kwani wewe ndio huyo mama ?
Yaani huyu unamwita jasiri?? Aisee
Mkuu ktk watu wanaogoopa sindano mimi naweza kuwa ktk kumi wa mwanzo
siku ukitaka kuchoma sindano ni pm mimi ni daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake