naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,989
- 5,510
Mtoto mwenyewe wala hana habari...
Tatizo si kuchomwa mtoto hapo ni mama anaiogopa hiyo sindano
Mtoto mwenyewe wala hana habari...
wewe ni daktari bingwa mwenye maradhi ya wanawake si bingwa wa magonjwa ya wanawake nitaku pm vp mkuu?
haya nisha kupm
Sipendi hata kuiona hivi huyu aliyeianzisha sijui aliwaza nini? kwa kweli kuikimbia wala sio kazi labda niwe mahututi
Haki ya nani? utanipa u DC? Apia usipoapia na pm yako siisomi
Hizo pm zisome hapahapa na ujibu hapahapa
nitakuhonga mkoa wa dar hakyamama hebu fungua uisome
waogopa nini?
wewe basmati?
Nipe wilaya ya Iramba kwingine siendi
Eeeeeee ati? ahahahahaa
na wewe pole mama kama post ilivoletwa