Pole January Makamba

January makamba hana tofaut na zito

tofaut n moja tu,

makamba amekulia kwenye mfumo wakitawala wa ccm,na zito amejiingza kwenye utawala wa mafsad

tuwaogope hawa vijana,n bora makinda awe Rais kuliko hawa watatuuza
 
MKAMA6 aka mchungaji aka mjita
....ya kaisari muachie kaisari
...alafu mtafute Mwalim wako wa lugha akunyooshe kidogo.
 
Last edited by a moderator:
Inaudhi kuona akili ndogo inatawala akili kubwa hapa JF. Huu ni uwanja wa kupashana habari. Mleta mada kama asingeleta tusingeyajua hayo. Hivi kweli haya maswali angeliuliza hapo ukumbini angetoka mzima? Tuache ushabiki wa kiajabu ajabu. Ni vyema ukasoma na kama hutaki unapita tu. Mtoa mada ana point muhimu mengine funika mwanaharamu apite.
 
If u have never voted then shut up ua cheap mouth
 
Hivi mtu mlikiwa nae masaa yote pale kwanini haya maswala usimuulize pale pale nadhani angekupa majibu stahiki,sasa umeyaleta hapa kutaka kumdhalilisha au kutaka nini? Sijaelewa nia yakuleta haya hapa
.
walikaa masaa mawili,, wao walikuwa 152, kama kila mtu angeuliza swali kwa dakika 1 basi wao peke yao wangetumia zaidi ya masaa 2 kabla ya mtoa mada kujibu. mazingira huenda hayakuwa rafiki
 
Kama kuna ukweli wa haya mambo, hao wachungaji nao njaa imekaba mbaya. Sipati picha waliotoka mbali safari waliianza saa ngapi na konddo wao waliwalisha saa ngapi.
Ninavyojua ratiba za ibada za hayo makanisa mbali na katoliki, ibada nyingi huisha jioni,
Sasa waliwatelekeza waamini au walifanya chapuchapu ili wawahi posho kwa January???????
Tusiamini kila liandikwalo kabla ya kulipima.
 
Hivi mtu mlikiwa nae masaa yote pale kwanini haya maswala usimuulize pale pale nadhani angekupa majibu stahiki,sasa umeyaleta hapa kutaka kumdhalilisha au kutaka nini? Sijaelewa nia yakuleta haya hapa

Hapana. Usimtetee. Mwache january ajitetee. Wengine hatukuyafahamu haya. Issue ya Urais is getting serious and more serious. Inawezekana huyu Jakaya wetu anauchapa usingizi ikulu. Matokeo yake ndio haya. Kila mtu anadhani anaweza kuwa rais.
 
Tazama avatar yake alieandika hayo,na pia huyo member namjua sana kwa michango yake hapa jukwaani,Yule ni cdm pure,

na ww usijifiche kwenye kivuli cha " Mimi sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote Tz". Huu ni upuuzi tu! sema wazi kuwa wewe ni walewale wa "Ujangili+ubakaji+usambazaji na utumiaji sembe+ufisadi+uuaji=CCM". Hatuoni sababu ya ww kuitetea au kuisema ccm!
 
Hapana. Usimtetee. Mwache january ajitetee. Wengine hatukuyafahamu haya. Issue ya Urais is getting serious and more serious. Inawezekana huyu Jakaya wetu anauchapa usingizi ikulu. Matokeo yake ndio haya. Kila mtu anadhani anaweza kuwa rais.

Mkuu heshima kwako
Hakuna sehem nimemtetea January mimi,ngoja nikupe msimamo wangu ujue,acha nafasi ya urais anayotaka makamba hiyo nafasi ya uwaziri bado amepwaya mno hafai,

Nachopinga mimi hapa UnafikI,mtu kishakula posho na mtu walikiwa nae aliyasema hayo mbele yao,busara ilikuwa pale pale angemuuliza hayo maswali halafu sisi hapa angetueletea maswali na majibu Yao nadhani umenielewa
 
Makamba Jr naye anataka kuwa Rais wa Tanzania.... aliyeturoga sisi alishakufa
 

Kama huna cha kuandika nyamaza kimya. Sisi kama wananchi tunataka majibu ya maswali yaliyoulizwa hapa. Usimtetee January.Mwisho wake umefika. Ningelikuwa Kikwete, ningemfuta kazi January kwenye re-shuffle inayokuja, hopefully January 2014.
 
Hii nchi ipo siku hata kenge atatoka majini autake urais na tusipokuwa makini tutampa huo urais
 

Nje ya hapa mimi nawewe nadhani tunafahamiana,sihitaji kulumbana na wewe kwa lolote,endelea na msimamo wako niache na misimamo yangu hiyo ndio demokrasia ingekuwa wote wana mawazo aina moja leo ingekuwa ni ccm pekee katika vyama Tanzania,
Nasisistiza mimi ni mtanganyika sijui kama limekukera hilo!!
 
Na wewe ni mwana siasa uchwara usiye na aibu
 

Kaka nimekulewa. Nadhani ni suala la "methodology" iliyotumika. Wewe unashauri alete maswali na majibu. Upo sahihi. Lakini nadhani mleta mada alikuwa anahofia usalama wake. Manake siku hizi watu wanamwagiana tindikali mchana kweupe.

 
mkama6.
Wewe ndugu yangu ni mchungaji wa watu au unachunga nini? Kwanini wachungaji mmekubali kuhongwa na January huku mkijua kupokea rushwa ni dhambi kubwa mbele za Mungu? Kilichokufanya usihoji haya maswali yako ya chuki na kinafiki mbele ya January ni nini mpaka uje huku jf kwa id za uchochoroni? Ninani amekuambia Shelukindo alikuwa na msaada wowote kwa watanzania hasa huko jimboni kwetu alikokuwa mbunge kwa miaka kumi na tano? Unapajua Bumbuli au unaandika tu ili kutimiza lengo lako ovu la kumchafua january makamba. Unajua Bumbuli kwasasa kuna miradi kadhaa inayowanufaisha wanawake na vijana kwa ujumla na ameinzisha ndugu JMakamba. Je unafahamu kuwa Bumbuli ipo njiani kuwa na tawi la benki ya NMB na jengo la tawi hilo ndio linaelekea mwisho na yote kayafanya January Makamba? Unasema kodi ya simu kashindwa kushughulikia tatizo kweli upo Tanzania hii au ndio hawa kina MM ambao hurushia makombora yaoya kinafiki kutoka nje? Hujui kuwa kodi ya simu iliyokuwa imeelekezwa kwa wananchi kuchangia kila mmoja 1000/= imefutwa na kuhamisha kwenye makampuni ya simu za mikononi? Unafiki huo uliouleta hapa unakusaidia nini wewe unaejita muinjilisti/askofu? Kumbe kwenye mafunzo yenu siku hizi mnafundishwa kuongea uongo? Pole sana hata ivo umefeli kabla hata hujaandika upu.uzi wako hapa. Kajipange tena au rudi huko kwenye mafunzo yenu ili ukajifunze jinsi ya kufanya majungu na propaganda.
 
Last edited by a moderator:
Mbona urais umekuwa so cheap,huyu dogo kuandika hotuba za JK urais tayari.
Lakini sishangai ile e mail ya Mwanvita akiomba mchango toka kwa hawala wake hili kufadhili kampeini za January kuelekea uchaguzi wa ubunge Bumbuli,ilijitanabaisha vyakutosha jinsi walivyokamia kutafuta madaraka hata ikibidi kuuza nchi.
JK anawajibika kuzuia upuuzi huu ndani ya chama na serikali yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…