Pole January Makamba


unatoka povu lanini? Sasa hv hakuna siri, mbinu zenu chafu magamba zinaanikwa hadharani. Mnalo!
 
Nitakapokuwa sina tone la shaka kuhusu ukweli wa taarifa hii nitaacha shughuli zangu zote nijikite kwenye huu mjadala.
 
hayo mahela yote kayapata wapi na atayarudishaje?

Mwenyezi Mungu ebu tuepushe na majanga
 

Yaani wewe ni ukoo huo huo wa Panya! Hivi asingeleta uzi huo hapa tungejuaje kuwa kampeni za uraisi zimeshanguliwa? Tungejuaje hizi hongo za kununua urais? Huu ni ujumbe kwa watanzania, kuwa tusichague viongozi kwa utajiri wao, tuwachangue kwa karama zao za kuongoza. Wakafe na pesa zao!!
 
Ujangili+ubakaji+usambazaji na utumiaji sembe+ufisadi+uuaji=CCM

Tatizo lenu pro cdm kila anaepingana nanyi ni ccm,
Mimi sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote Tz, sijawahi kupiga kura hata mara moja,
Kwa sababu Mara zote nakuwa sipo home,
Mimi nashabikia mtu sio chama,vyama vyoye vina sera nzuri lakini watekelezaji hawapo,jifunzeni si kila anaekuwa kinyume nanyinyi ni ccm,wengine,CUF,UDP,TLP, na wengine kama sisi hatuna vyama ila ni wa Tanganyika tu
 
wewe kama ni mchungaji nina wasiwasi na uchungaji wako. nilidhani utaandika majibu ya maswali uliyouliza hapa kwa kuwa ume,uuliza makamba. pia mwenyewe ni mla rushwa na huna lolote. ulikuwa nae ungemuuliza. kuleta habari kama hii hapa ni unafiki na uzushi na ufitini. hivi vitu yvote Mungu hapendi
 
Hili suala la kila mtu anataka Urais litawatesa CCM.Ni kwa nini hawamuandai mrithi mmoja?!
wengine ni decoy,wanakuwepo kwa lengo la kupoteza maboya,kuliko cdm mgombea mmoja tu anafahamika licha kuwa na umri mkubwa sana kiasi kwamba hata kama atashinda,uwezekano wa hata miaka mitano ya kwanza kuisha kabla bendera hazijapepea nusu mlingoti ni asilimia 17.

Kwakua na mgombea mmoja tu lolote laweza kutokea,helcopter ikiroga tu huko hewani ndo kwaheri ndoto ya uwezekano wa kushinda.
 
January mtoto wa Makamba anautaka urais? kupinga ufisadi, kupiga vita rushwa, unga.....ataweza?

Mambo mengine hayaelezeki nchi hii!
 
Sasa chakuleta hapa nini ka ulienda umemsikia then umeshindwa kuuliza pale.....tukusaidie nini sasa ....
 
Makamba ni jembe, CCM mzima hakuna kijana kama Makamba..
Huyu mtu ni maarufa kuliko CCM...
 
Mleta thread ni ----- anashusha hadhi ya JF! Mods ujinga kama huu una leta picha mbaya kwa JF kama forum ambayo hata mlevi anaweza kuanzisha uzi wowote!
 
Makamba ni jembe, CCM mzima hakuna kijana kama Makamba..
Huyu mtu ni maarufa kuliko CCM...
wakati mwingine nashindwa kupima yupi kati ya zito na january ni bright zaidi ya mwenzake interm of IQ.
 

Ungevijuaje ili useme Mungu havipendi? Unazuia kusikia ukweli ili uovu ushamiri?
 
Kilichobaki sasa hata akina aunt ezekiel wangombee urais, make ni ka vile fashion ya kupigiwa salute na ving'ora tu sasa.
 
Mtoa mada,,,haya unayoyauliza hapa ulikosa wasaa wa kumuuliza????ulijua unahongwa ukapokea????Januari ana ukurasa wake wa fb,tweeter,nenda kamuulize,,,,nyie viongoz wa kidini ni wanafki tu,unataka tujue kuwa ulikua na Januari???mxiuuuuuuuu

Mwisho wa siku watakuja kusema January ni chaguo la Mungu.
 
Kwani kwenye barua au simu ya mwaliko mlielezwa nn? Viongozi wa dini ndo mnashusha maadili ya hii nchi maana mnatanguliza maslai mbele...ww uliyeleta hili bandiko ni mnafiki mkubwa maana ungesema soon after ur invitation na leo ungeleta update. .umekula rushwa tayari sijui pccb wanasubiri nini kukupeleka mahakamani maana ushaidi umeutoa mwenyewe
 
Mtoa mada malizia mwisho baada January kuwaeleza nia yake mulimpa jibu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…