Hawezi kuthubutu kuleta hivyo vitu ,January Makamba kupitia baba yake walihakikisha anapita bila kupingwa Bumbuli,kwanza waligawa jimbo ,juzi kuna mwenyekiti kachaguliwa kwa kishindo na kwa kura nyingi akamtisha jamaa akasepa kujiponya ni tapeli la kisiasaNdio maana nikasema kukata mzizi wa fitina na kukomesha uongo we tuwekee hiyo Sauti na kama una Video itakuwa vizuri zaidi, pia barua ya mwaliko.
Kama ulikuwa kwenye hicho kikao si ungemuuliza hayo maswali?kama sio unafiki ni nini..
NIA ni moja na kubwa: Operesheni Fichua Ouzo! tutawatafuta, tutawaibua na kuwaripoti.Hivi mtu mlikiwa nae masaa yote pale kwanini haya maswala usimuulize pale pale nadhani angekupa majibu stahiki,sasa umeyaleta hapa kutaka kumdhalilisha au kutaka nini? Sijaelewa nia yakuleta haya hapa
JF ni mahali ambapo we dare talk openly. Nafurahi mwanzisha uzi kuleta uzi huu hapa ili na sisi ambao hatukuwepo pale Mwanza tuweze kujua yaliyojiri. Siwalewi ninyi ambao mlitaka maswali haya yaulizwe kimya kimyaHivi mtu mlikiwa nae masaa yote pale kwanini haya maswala usimuulize pale pale nadhani angekupa majibu stahiki,sasa umeyaleta hapa kutaka kumdhalilisha au kutaka nini? Sijaelewa nia yakuleta haya hapa
Wamarekani as a government hawatoagi hela kwa kampeni za viongozi wa mataifa ya nje. Unless amepewa hela na CIA.Wamarekani wanataka Makamba Jr awe Rais, wanaamini chini ya Makamba Jr Masilahi yao yatakuwa salama...Fedha za kumuwezesha tayari zipo...
bado tuna safari ndefu sana maana sijui hata hayo makosa ya matumizi sahihi ya lugha tatizo ni shule au nini? pia umefanyiwa yooote then unakuja kumuuliza maswali huku si bora ungeomba namba yake ya simu.
Haya ni yaleyale.50 umechukua, hotel, chakula, usafiri umeshiriki na kukaa na January akaeleza yake ukasikiliza na hukumuuluza maswali.umemaliza 50 maswali unakuja uliza kwenye Jf wengine hata 10 hatujaona.wewe koma bana hukohuko.
Tunakujua sana kwa mabandiko yako humu. Unaendeshwa pia na itikati ileee!Mimi nimemjibu huyu ajitae mchungaji kuhusu hizi propaganda zake. Mimi nimuumini wa mabadiliko lakini si kupitia vyama vya kilaghai na ubabaishaji. Hivi ni vyama hatari zaidi ya chama tawala. Vyama vinavyoshindwa kujiendesha na kusimamia taratibu na kanuni bila bias vitawezaje kuhimili kuliongoza taifa?. Akhsanta.
Na wewe uliotoa post hii ni mdini!tena ni mtu hatari sana kwa taifa hili, kwanini usingemuuliza palepale na akupe majibu kisha utume humu? ulilizika kugonganae glssssssss!
ujumbe umefika kwa jamii... kukosea R na L ni janga la kitaifa, lakini kamwe usitake tuhamie huko na kusahau hoja ya msingi ya kijana January kupitia milango ya nyumaHuyo mwandishi wa thread!!! Full kuchanganya R na L, maana hadi kichwa kinauma(ROWASA-LOWASA)
Mleta Uzi ni mnafiki Fulani tu, si mlikuwa nae huyo January makamba kwa nini usumulize Huko huko, Leo unaleta maswali kwenye forum
HIVI NI KWELI KUWA madame b NI MSAGAJI? Nauliza tu jamani ili mpenz wangu akae mbali naye.
HIVI NI KWELI KUWA madame b NI MSAGAJI? Nauliza tu jamani ili mpenz wangu akae mbali naye.