Nduka
JF-Expert Member
- Dec 3, 2008
- 8,552
- 2,360
Ah ccm kumbe ndo walivyofanya, jaman hata magazeti sijaona maswala ya cdm yakisomeka. Msikate tamaa tupo pamoja.
Hata Tanzania Daima na Mwanahalisi mkuu?
Ah ccm kumbe ndo walivyofanya, jaman hata magazeti sijaona maswala ya cdm yakisomeka. Msikate tamaa tupo pamoja.
Weka vithibitisho kuonyesha hayo unayosema "mmeyaona"TUmeona mlivyopambana bungeni na jinsi mlivyopigwa vita left right and center...
Tumeona mlivyojitolea kusaidia waathirika wa Gongo la Mboto na jinsi media yetu na serikali zinavyojitahidi kuwabania
Hizo ndio changamoto zenu na naomba sana msivunjike moyo
A challenge to you; wekeni ahadi yoyote ile muone CCM na serikali watakavyohamanika kuitimiza ili waonekane wamefanya kitu... do that for bombs victims
Kama wewe hujaona endelea kubeba box. Labda utaona next bunge session.Weka vithibitisho kuonyesha hayo unayosema "mmeyaona"
subirini 2015 patachimbika babake
Hata Tanzania Daima na Mwanahalisi mkuu?
We ushafika, wengine bado. Kama hujaona ya 2010 basi wewe kituko kabisa. Kama hujaona mageuzi ya ukweli basi inaonekana unyunyu wa chumbani kwa nanii zako umekupumbaza.Hivi hii na kauli mbiu ya vyama vya upinzani maana tulizoe ngoja 2010 sasa mmeongeza miaka mitano?
We ushafika, wengine bado. Kama hujaona ya 2010 basi wewe kituko kabisa. Kama hujaona mageuzi ya ukweli basi inaonekana unyunyu wa chumbani kwa nanii zako umekupumbaza.
Yanakuuma eeh! Leo mashuka ni ya rangi gani?
. Waende kwa wananchi wakaseme yale yanayotoka kwao na jinsi wanavyozibwa na ccm na spika wao.
Mkuu ungesubiri basi mpaka pale utakapoweza kutupatie habari kamili ndio uanzishe thread vinginevyo hakuna maana kuanzisha thread isiyo na taarifa kamili.
Hata Tanzania Daima na Mwanahalisi mkuu?
We ushafika, wengine bado. Kama hujaona ya 2010 basi wewe kituko kabisa. Kama hujaona mageuzi ya ukweli basi inaonekana unyunyu wa chumbani kwa nanii zako umekupumbaza.
Narrow mind, mbona hujazungumzia magazeti mengine?
Mama, achana na kubishana na mwehu atakutia hasira bure!
TUmeona mlivyopambana bungeni na jinsi mlivyopigwa vita left right and center...
Tumeona mlivyojitolea kusaidia waathirika wa Gongo la Mboto na jinsi media yetu na serikali zinavyojitahidi kuwabania
Hizo ndio changamoto zenu na naomba sana msivunjike moyo
A challenge to you; wekeni ahadi yoyote ile muone CCM na serikali watakavyohamanika kuitimiza ili waonekane wamefanya kitu... do that for bombs victims
Swali lilikuwa kwa mwanzisha thread,msiobeba mabox si mmemchagua JK tena?Na majority wanayo bungeni.Kama wewe hujaona endelea kubeba box. Labda utaona next bunge session.
Pole sana.