Soil and Crop Scientist
Member
- May 31, 2023
- 27
- 27
Kumbe bado una akili za kitoto hv???Dogo Mrusi si kichaa ka US angetaka kumaliza vita hata siku moja angemaliza kwa kutumia Nuclear
Ukraine washukuru sana Putin anahuruma na anacheza nao kidogo kidogo.
Siri zitajulikana tu vita vikisha kuwa Nato yote ilikuwa inapigana na Mrusi.
Unajua treats ambazo zinasimamia matumiz ya Nuclear??? Au unajisemea tu???
Kama huruma anayo huyo bwana Putin pamoja na Nuclear zake kwa nn mpaka mda huu hajatumia na anaingia loss za namna hiyo??? Pili mbona anakumbia kwenda kwenye mkutano wao wa South Africa????
Utumiaji wa Nuclear sio Kama kuuza karanga mtaani bro