Pokemon GO

Na ikifika Bongo weng nadhan watagongwa sana na magar maana kama ulaya tu wamekufa watu sipat picha
 
Nili install kwenye ipad yangu, ila nimeiondoa leo baada ya kuona inahitaji utembee kweli kweli na kibaya kazi yangu ni ya kukaa muda mrefu. Ila inaonekana ni nzuri sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…