Point Pekee ambayo Sugu anakubaliana na mbunge wa CCM

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Mambo ya maji ye hayamuhusu,.zahanati hata utoe point nzuri vipi ukiwa CCM sugu hawez kukubaliana nawe,

Lakin ili la Msukuma kuomba bangi iruhusiwe, sugu ameonekana akipiga meza kuashiria kukubaliana na Msukuma
 
Yuko sahihi maana kwa sasa mambo ya miradi yanapangwa na kupitishwa na serekali chini ya jiwe. Kitu kipekee hilo bunge kibogoyo linaweza kupitisha ni bangi.
 
Mbowe alikuwa na shamba la bangi (green house)pembeni amelima mboga mboga za majani wakuu wakamstukia..fyekeeelea mbali!
 
Back
Top Bottom